The late Sophia Gerald
Mourners at the home of the deceased, Reading

This is to announce to all Tanzanians in the UK that there will be a funeral service before repatriation of the late Sophia Gerald On Friday the 15 th Jan 210

At the moment All Tanzanians and well wishers are congregating at the Home of the deceased :
15 WHITENIGHTS,
READING,
RG6 7BY.
Your contributions can be sent to:
Ndugu M Upetu
Sort Code:207106
Account:80585114
Barclays Bank
For furthre details please contact Mr Upetu TEL:07501083328
and Sheikh Sungura:07960319

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. R.I.P Sophia, we will miss you. Much love Jestina

    ReplyDelete
  2. Jamani kweli warembo hawadumu, dada alikuwa mzuri kweli lakini ndo hivyo mapenzi ya Mungu yametimizwa. Poleni sana ndugu na jamaa wa marehemu. RIP Sophia.

    ReplyDelete
  3. rest in peace sis,kila chenye hakikosi kuwa na mwisho,nenda dada kapumzike kwa aman...MUNGU ailaze roho yako mahali pema peponi,amin

    ReplyDelete
  4. DuniamapitoJanuary 13, 2010

    Ina lilah waina ilaihi raj-uun. Kila nafsi itaonja mauti. RIP Dada Sophie, we are all in a queue.



    Kwa mwenyezi sote tupo sawa, ila tofauti inakuja katika kuandaa maisha bora ya milele (Yaani kutenda mema kabla ya mauti) nina hakika dada huyu alifanya hivyo kama ambavyo wote tunatakiwa kufanya. Kwani maisha ya duniani ni kama maua huchanua kupendeza na mwisho kunyauka.

    Ua zuri limenyauka ila kwa mungu litachanua kwani mbolea liliitengeza na milele kuchanua .

    Hakika kifo katika miongoni mwenu ni D'awa tosha kwenu kuwa mumche mwenyezi mungu.

    ReplyDelete
  5. maskini huyu dada tuliona harusi yake humu kwenye globu ya jamii poor girl im deeply sad kwa watoto na baba yao.RIP

    ReplyDelete
  6. Jamani Sophia!!!
    Imekuwaje tena ?yaani inasikitisha jamani,huyu dada tumesoma naye ngarenaro/kwa babu alikuwa mpole sana,na alikuwa na roho nzuri sana mkarimu.Kweli wema hawana maisha...RIP Sophia,wote tuko njia moja.Poleni sana ndugu wote na jamaa!!

    ReplyDelete
  7. RIP Sophia!!!! jamani kweli tunatembea na kifo....nakukumbuka toka ngarenaro ulivyokuwa mpole,mkarimu...yani ni mapenzi ya Mungu...kazi ya Mungu haina makosa.Mungu awape nguvu familia yako London & Tanzania.

    ReplyDelete
  8. flora bahati lyimoJanuary 15, 2010

    NATUOMBE"
    KWA JINA LA BABA NA LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU AMINA.
    SALAM MARIA UMEJAA NEEMA BWANA YU NAWE UMEBARIKIWA KULIKO WANAWAKE WOTE NA YESU MZAO WATUMBO LAKO AMEBARIKIWA, MARIA MTAKATIFU MAMA WA MUNGU , UTUOMBEE SISI WAKOSEFU SASA NA SAA YA KUFA KWETU AMINA.
    ROHO ZA MAREHEM WALIOKO TUARANI WAPATE REHEMA KWA MUNGU NA WAPUMZIKE KWA AMANI, AMINIA, EE MBWANA UMPOKEE MAREHEM DADA YETU SOPHIA APUMZIKE KWA AMANI APATE KUWA NAWE NA KUFURAHI PAMOJA NA WATAKATIFU NA MALAIKA WOTE AMENA.
    KWELI NI MUNGU TU ANAYEJUA SABABU YAKO WEWE DADA SOPHIA KUONDOKA HAPA DUNIANI NA HAKUNA YOYOTE YULE ATAKAYE WEZA KUJUA SABABU HIYO" KWA HIYO KILICHOPO TUZIDI KUMUOMBEA NA WALA TUSICHOKE KABISA , NAPIA NA WAOMBEA FAMILIA YAKE YOTE NA WALE WOTE WALIOPATWA NA MSIBA HUU, MUNGU AWAPE MOYO WAUTULIVU ZAIDI HASA KWA KIPINDI HIKI KIGUM. R.I.P DADA SOPHIA !!!
    HATA VILE HATUFAHAMIANI, YANI NILIPOSIKIA KIFO CHAKO, KILINIGUSA SANA. NA HATA MACHOZI KULIA , KWANI KILA ANIAMBIAE KUKUHUSU ANASEMA YOTE YALIYO MEMA ULIYOYAFANYA KWA WOTE ULIOKUWA UNAFAHAMIANA NAO. NA HIVYO NDIVYO MUNGU APENDAVYO BINADAM KUISHI HAPA DUNIANI NA HATA HUKO MBINGUNI. WACHA NIISHIE HAPA MAANA MACHOZI YAMEYAZIBA MACHO"
    AKUOMBEAE MISS FB LYIMO"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...