Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar Dk. Amani Abeid Karumeakimkabidhi cheti cha shukurani Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania, Bw. George Rwehumbiza, kwa udhamini wa kampuni hiyo ya simu za mkononi wa Kombe la Mapinduzi juzi ambapo Mtibwa Sugar ya Morogoro waliibuka washindi wa kombe hilo kwa kuilaza Ocean View kwa goli 1-0 wikiendi hii huko Uwanja wa Gombani, Pemba

Nahodha wa timu ya Mtibwa Shabani Nditi akiinua Kombe la Mapinduzi kuashiria ushindi wao walioupata zidi ya Ocean View walipoilaza 1-0 na kuibuka mabingwa wa kombe hilo lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Nahodha wa timu ya Mtibwa Shabani Nditi akiinua Kombe la Mapinduzi kuashiria ushindi wao walioupata zidi ya Ocean View walipoilaza 1-0 na kuibuka mabingwa wa kombe hilo lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huyo sio Shebby Nditi Vieira.

    ReplyDelete
  2. Kiswahili sasa kinaanza kuwashinda watu,enzi za mwalimu haikua hivi,sasa mapingwa maana yake ni nini?

    ReplyDelete
  3. ahsante michuzi kwa kunifanya nicheke mpaka mbavu ziniume asubuhi hii. Hii ndio sababu napenda kusoma blog yako kila asubuhi kabla ya kuanza kazi. eti MAPINGWA!!!!!!! he he he he he ahhhhhhhhh mbavu zangu yarabi!!!

    ReplyDelete
  4. huyo wa juu ni chacha marwa a chini nadhani obadia mungusa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...