


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi kuna sehemu benki hii haijafika katika kutoa misaada? yaani kila sehemu wapo hii ni kazi nzuri sana mnayofanya
ReplyDeletesafi sana misaada tunaona inaelekezwa kwa jamii ambayo kweli inastahili kupata hususan mmaeneo ya vijijini na siyo mijini tu.
ReplyDeletekaka michuzi, salaam kwako kaka. Mimi si mpenzi sana wa kutoa maoni katika blogs japokuwa ni mpenzi mkubwa sana wa blog yako. Lakini leo nimeshindwa kujizuia kwasababu nataka niseme kidogo kuhusu benki ya NMB. Hii benki kwa kweli wote tunakumbuka ilipokuwa na sasa ilipo. Leo hii benki iko imara kiasi cha kwamba tunajivunia benki yetu kukua kiasi hiki. Nimekuwa nafuatilia kila siku benki inatoa misaada tofauti na benki zingine. Kwa kweli hatua hii ya NMB kutenga fungu la misaada kwa jamii inahitaji kupingezwa ndio maana leo nimeshindwa kukaa kimya. Safi sana. Asante kaka kwa kutuhabarisha matukio muhimu.
ReplyDeleteHII INATOA CHANGAMOTO...!
ReplyDeletehongera sana benki ya nmb
ReplyDeletebado hamjafikia sehemu zingine natoe wito mfike sehemu zingine kama rukwa hatujawaona nmb
ReplyDeletenmb mnatisha bwana kwa misaada..
ReplyDelete