Donate now at: www.clintonbushhaitifund.org
President Obama is joined by former Presidents Bill Clinton and George W. Bush to announce the formation of the Clinton Bush Haiti Fund to help the Haitian people after the devastating January 12th earthquake.


RIP- mwalim manake ungekuwepo watu wangejitokeza kila kona kukushika mkono kwa swala hili lililowakuta wenzetu. Manake huku ulaya wanaonyesha mpaka unaona huruma mie nimechanga na nitaenda kujitolea red cross (nitakaa subway na bakuli kuomba msaada) siku ya wikiendi. Jamani tuungane, leo wao kesho sie.
ReplyDeleteAnon Jan 19, 06:30:00 uko wapi ndugu yangu.
ReplyDelete"Kesho sie" Sisi huku tayari - Kilosa.
At least we know for sure hiyo hela watakayokusanya haitatumika kujenga nyumba ya Gavana wa Haiti, ndio maana nimechanga.
ReplyDeletekweli uraisi mzuri, Bush ubishoo wote kwisha, hebu ona alivosimama kwa adabu na unyenyekevu ona mikono alivoikunja kwa heshima!
ReplyDeletewewe mdau mnywa mataptap mwalimu unamhusishaje na hili kuwa angeshikwa mkono?michuzi walevi na hangover zao usiwe unawapa nafasi humu kaka
ReplyDeleteWewe anon 12:09 ndio mlevi wa mataputapu, akili yako inashindwa hata kufikiri sawasawa, kila kitu sio lazima kiandikwe moja kwa moja ndio uelewe. Ni kweli angekwepo Mwalimu tungeenda sana kumshika mkono maana tungekuwa na uhakika msaada utawafikia walengwa. Saizi huo msaada utamkabidhi nani ili ufike salama !!!!
ReplyDeletehili ni swala la Rais Kikwete kuiga maana yametokea majanga mengi huko bongo lakini hata siku moja hajasimama kuhimiza wananchi kuchangia waliokumbwa na majanga achalia mbali ugumu wake wa kutoa hela yake kutoka mfujoni kwake.Viongozi wa Afrika mbona tuna uselfish hivi kazi kujilimbikizia mimali tu hata kusaidia wahanga mnashindwa C`umon man
ReplyDeleteduh!!kweli mdau nimekupatapata hapo nilikuwa sijakuelewa umenifanya nijione km mm ndio mnywa mataptap kweli badala ya wewe..nakubaliana na wewe kabisa sasa hivi bongo hamna wa kumuamini kwa msaada hata mmoja usiwaone watu wakichekacheka tu kumbe wabaya hao balaa..misaaada haiwafikii walengwa kabisa watu wanaenda omba msaada wamekula suti kali na tai kuliko hao wanaoenda kuwaomba wanaishi maisha ya kifahari kuliko wanaowataka wawasaidie
ReplyDeleteYap,anon June 20 12:13 hapo sasa tupo sawa. Hawa watu hawana hata chembe ya huruma. Yaani wanatafuna tuuuu hawakumbuki hata kupuliza. Mwaka huu watajichekelesha chekelesha saaaana kwa ajili ya uchaguzi, wakitoka hapo hatuwaoni teeeeena mpk 2015.
ReplyDelete