Home
Unlabelled
pinda atua dodoma tayari kwa kikao cha bunge kinachoanza kesho jumanne
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kweli nchi yetu inaharibu vipaji. Dk Msekela ni mtaalam mzuri sana wa "High Voltage", kanifundisha pale FOE ila ndiyo hivyo wanasiasa hawawajali kabisa wataalam matokeo yake inakuwa kubanana hukohuko. Je tutafika?
ReplyDeleteNadhani hata kufundisha alifundisha kwa mwaka 1 au miwili tu?! Na kwa sasa sidhani kama umeme anaukumbuka tena!!!??? Na nina hakika hawezi kurudi tena kushika chaki!?
ReplyDeleteTutafika lakini kila mtu kivyake.
Prof. Mwandosya, Prof. Mgombelo, huyo Dr. Nsekela wote vichwa vya umeme viliondoka FoE. Sasa vichwa siasa!
ReplyDeleteDu, kweli kalcha ni tofauti kila mahali. Huku majuu kushikana mikono hivyo inaweza kuwa nongwa kweli na kutafsiriwa vingine. Kusalimiana sawa..ila kutembea mmeshikana mikono hivyo? Mhh...kazi kweli.
ReplyDeleteHivi hapo Waziri Mkuu na Mkuu wa mkoa wameshikana mikono??? Aha hiyo sooo!!
ReplyDeleteWatanzania kwa kujifaragua na kuiga mambo hatuwezekani,nani hajui kwamba Tanzania ni poa tuu wanaume kushikana mkono?nani hajawahi kushikwa mkono wakati anaishi Tanzania ?Soma habari ufurahi ,tuache kasumba.
ReplyDelete