MAMBO ANKAL. HONGERA KWA KUWA NA AKTIVU BLOGU.
MM NI MDAU MKAZI WA JIJI HILI, ARUSHA. KWAKWELI NATAKA KUTOA TAARIFA TU YA KUWA ILI SEHEMU IWE JIJI LAZIMA IWE NA ''SOCIAL SERVICES'', ENIWEI, HUKU ZIPO BT KIWANGO CHAKE KWAKWELI HAKIRIDHISHI HATA KIDOGO.
MM NI MDAU MKAZI WA JIJI HILI, ARUSHA. KWAKWELI NATAKA KUTOA TAARIFA TU YA KUWA ILI SEHEMU IWE JIJI LAZIMA IWE NA ''SOCIAL SERVICES'', ENIWEI, HUKU ZIPO BT KIWANGO CHAKE KWAKWELI HAKIRIDHISHI HATA KIDOGO.
KATIKA KUPITAPITA KWANGU HUKU MJINI NIMIJARIBU KUFANYA TAFITI NDOGO NDOGO TU, NA NIMEKUJA KUBAINI YAFUATAYO. ARUSHA KUNA UHABA WA...
1. BARABARA, MAIN ROADS HAZINA VIWANGO VYA JIJI. UPANA WA BARABARA NI WA KUPITA MAGARI MAWILI AT ONCE. GARI MOJA IKIKWAMA BASI FOLENI LAZIMA ITENGENEZWE, SASA PIGA PICHA KWAMBA KILA MTU ANA GARI MOJAMOJA, HUO MSONGMANO UTAKUWAJE?????.
2.BANKING PROBLEMS,NI JAMBO AMBALO SILIELEWI VIZUR, KUNA BANK NYINGI SANA ARUSHA, LAKINI KILA MTU ANAENDA KUPATA HUDUMA KWENYE BANK ANAYOWEZA KUIMUDU. CRDB, NBC, NMB, NDO BANK AMBAZO ZINAWEZA KUWA NA WATU WENGI LABDA BCOZ OF SERVICES ZAO KUWA CONDUSIVE KWAO. BT NIMECHUNGUZA KUWA KATIKA MABENKI YALIYO NA WATU WENGI, SERVICES ZAO NI MBOVU. HAZIRIDHISHI KABISA, FOLENI YA ATM NI KUBWA SANA NA ATM CHACHE SANA, LUGHA ZA WAHUDUMU NI MBAYA..MAZINGIRA HATARI,
3.HOTELI VIWANGO BT JE WATU WETU NDO WANAFANYA KAZI HUKO. HUKO SIPO. UJAMBAZI UPO WAZI WAZI NA SIJUI KAMA KUNA PREVENTIVE MEASURES TO THEM.
4. MUUNGANO WA EAST AFRICA NAO UMELETA YAKE. KWANI ANKAL,TANZANIA YETU IMEUNGANISHA ARDHI PIA KWENYE HUO MUUNGANIKO???? HUKU KWETU WASOMALI WANANUNUA ARDHI KILA KUKICHA NA SIJUI WHAT WILL BE THE FATE OF OUR CHILDREN.
5. MAJI, MAJI, MAJI, MAJI, MAJI, MAJI, MAJI. MAENEO YA MATARIJI MAJI HAYAKATIKI SEHEMU NYINGINE NDO KERO KERO KERO. MFANO, SEHEMU KAMA NJIRO-KORONA MAJI YANATOKA MARA 1 SIKU 9 OR 10. HALI SI NJEMA ANKAL.
ANYWAY, KUNA MAMBO MENGI 2, WENGINE WAKAZI WA HUKU WANAWEZA KUELEWA NA BADO INAITWA JIJI.
THINK OF THAT.
MDAU WA A-TAUN
Arusha bado haijapata hadhi ya jiji kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui
ReplyDeleteWasomali wananunua ardhi?
ReplyDeleteKwa nini muwauzie?
tatizo mipango duni haiendani na maendeleo ya mji
ReplyDeletearusha kwakweli sijui nini kinabeba ule mji sababu hauna ile hadhi kama watu wanavyofikiri au wanavyo ambiwa kupewa kua jiji hio sio haki na kun mikoa mingine mingi ambayo kwakweli imesimama kwa mfano mbeya ule mko umesimama jamani nimekaa kidogo tu pale mtu hutaki kuaondoka cos unajitosheleza kwa kila kitu arusha inabebwa na zile mbuga na ule ukumbi wa mikutano
ReplyDeleteanyway