Home
Unlabelled
sakata la trafiki wala rushwa iringa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Its an excellent idea, but there seems to be a major problem with buffering.There are too many on/off stops, even with an accelerator on
ReplyDeleteLooking forward to improvements
Wakatabahu
Hili lisiwe "Changa la Macho" kuzima kesi za Ufisadi.
ReplyDeleteWakaja kuwaonea matrafiki kwa kuwafukuza kazi kama mfano wa kujisafisha kwenye jamii.
Maaskari ni vijifisadi tunataka na mafisadi sasa tuyaone.Mimi nashauri tuungane na china kwa adhabu ya ya Rushwa na wakati mswaada uko jikoni tutumie mwalimu style.12 wakati wa kuingia jera na 12 za kuwaonyesha mrs Mafisadi.sasa tutafikaje?nchi yetu bila dictator hatufiki popote
ReplyDelete...Nakumbuka wakati wa mzee ngnguri,mahita,akiwa IGP akifanya mikutano yake na Askari mikoani alikuwa akichochea askari wake kuchukua rushwa maana alikuwa akiwaambia mtu akikupa pesa chukua kama kipanga.Ukumbuke yeye alikuwa ni kiongozi wa juu kukemea rushwa katika polisi lakini hakuweza.
ReplyDeleteKadhalika ukiwasikia Kamanda Msikka na na huyo kamanda mwingine katika maonegezi au mahojiano yao na waandishi wanaonekana kusutwa na dhamira zao na inaonekana kabisa hakuna mkakati wowote uliopo zaidi ya zima moto.leo limetokea saana watafukuza askari hao lakini hawatafanya utafiti wa kina kurekebisha mfumo unaoletelezea hayo yoye.
Aidha uchunguzi ufanywe zaidi katika kurekebisha system,na sio kulenga zaidi watu.
Vilevile mbele ya sheria bado kuna utata.Mfano mimi sijaona ni noti au ni karatasi au ni nini kimetolewa na dereva kwa askari.Rushwa ipo ndio lakini...
Viongozi wote waliofanyiwa mahojiano sijaona mwenye mkakati wa kupamabna na rushwa.Pili uwezo wao wa kutambua mambo na dunia kubadilika ni mdogo,samahani kwa ksema hivyo maana ndivyo ninvyoona.
Tatizo ili alitoisha kamwe bongo. Kama wanataka kuusafisha ufisadi kwanza uwanze kwa viongozi afu ndo uje kwa maaskari. Serikali ye2 ina ela na nchi ye2 tajiri, lakini wananchi wake na Askari wake ni maskini. Kama viongozi mtasoma wazo langu lifanyieni kazi. Askari wa barabarani wanatakiwa wawe na magari, na magari yao yanatakiwa yawe na Video recodable. Wanapomsimamisha m2 wawe wanarikodi 2kio na iyo iwe lazima kwa Askari wote wa barabarani. La Pili magari yasiwe yanakamatwa na kupelekwa ki2oni, Dereva akionekana ana kosa awe anagewa tiketi yaani faini. Tiketi iyo lazima ilipwe na isipolipwa basi awe kwenye listi ya RBE yaani wa2 wanaotafutwa. Hapo serikali ye2 ndio itakuwa na ela nyingi na maaskari watakuwa na mshahara nzuri labda rusha itapungua....Kigogo Bwoiiiii
ReplyDeleteKAMA HUJAFANYA KAZI POLISI NI VIGUMU KUELEWA HII ISSUE.JAMANI NI KWAMBA JESHI LA POLISI TANZANIA NI KAMA ORGANIZED CRIME CIRCUIT,NI KWAMBA HAO TRAFFIC WANAPANGIWA KABISA KWAMBA KWA WEEK WANATAKIWA KUKUSANYA SHS.KADHAA HALAFU END OF WEEK ANAENDA KWA IMMEDIATE BOSS WAKE ANAMKABIDHI HIZO PESA HUYO BOSS ANACHUKUA CHAKE NA KUKABIDHI AMOUNT FLANI KWA MKUU WAKE AND THE PROCESS GOES AND FOLLOWS THE TREND.POLISI NI KAMA MA-MAFIA WANALINDANA VIBAYA SANA KWA SABABU WAKUBWA WANAJUA KWAMBA THEY BENEFIT FROM THOSE LOW RANK FILES KWANI HAO NDIO WACHAKARIKAJI.I WAS THERE I KNOW IN AND OUT
ReplyDeleteNaungana na watoa hoja almost wote. Sawa Jerry murro amefanya kazi yake . ya kufikisha ujumbe kwa wananchi. Sasa nini kifanyike? waangaalie source ni nini mpaka hao traffic wakawa wanachukua rushwa? Also ukiangalie ile clip sikuona pesa pale badala yake niliona karatasi na traffic alipofika kwa driver before hajasema lolote alikutana na karatasi Je hiyo karatasi ina Nini na Kama ni pesa kwa nini atoe pesa? hakuna alieona kama traffic ameomba pale? hakuna Kosa driver aliloambiwa na officer wa police? Cha kufanyika hapa serikali Itambue nini umhimu wa hawa askari. wapewe mshahara Mzuri then driver waelemishwe haki zao wakiwa bara barani. vitu kama Hivi viangaliwe then tunaweza fika tunakoenda. Nitafurahi Kama Muro ataenda T SCAN. TRA na kuwafanyia kazi watu kama hao Mteja anashusha mzigo analipa kodi vizuri unatoka getini unakutana na deffender wanakuambia umelipa pesa kidogo rudisha gari . au toa pesa kidogo . u know vitu kama hivyo ndo viangaliwe saana na sio kuonea tu hao Traffic maskini wanaokaa bara barani usiku. ukiangalia hata kwenda pale kazi kaenda na Lift ya driver wa lori . urafiki lazima uwepo between hao police na driver's na ndo maana hata ukiangalia clips sioni kama kuna Ukali au nguvu zilitumika kupeana zile karatasi
ReplyDeleteasante mdau Tokyo!
UTARATIBU NI KWAMBA, AU UNATAKIWA UWE NI HIVI KAMA MTU AMEPATIKANA NA KOSA NI KUMPELEKA MAHAKAMANI NA MAHAKAMA NDO ITAMUONA MKOSA AU LA SI POLISI, NA MAKOSA YA BARABARANI NCHI ZA WENZETU HUWA HAYA FINE KINACHOFANYIKA NI KUNA POINTS KATIKA LESENI YAKO YA UDEREVA KILA UKIFANYA KOSA UNYOFOLEWA POINTS KUTOKA NA UKUBWA WA KOSA NA ZIKIISHA UNANYANG'ANYWA LESENI NA WEWE SI DEREVA TENA AURUHUSIWI KUENDESHA GARI TENA MPAKA UKAJIFUNZE TENA NA KUFANYA TEST UPYA, AU WAKATI MWINGINE UKIFANYA KOSA LA KIDEREVA UNAFUNGIWA KUENDESHA GARI SI FINE YA PESA, MTU ATATOA FINE NA ATAENDELEA KUENDESHA GARI KWA MAKOSA YALEYALE HIYO HAISAIDII KITU, KUNA HAJA YA KUANGALIA UPYA SHERIA HIZI ZA MAGARI NA UDEREVA, PIA KUNA MDAU WA TOKYO ANASEMA HAKUONA PESA SIKIBADILISHA MIKONO NDANI YA VIDEO HIZI LABDA NI KIPOFU, NA JAMAA WA TAKUKURU WANAONEKANA KUTETEA POLISI PENGINE NAO NDO ZAO HIZO, WATU WAKILALAMIKA HATA KWA MINONG'ONONG'O TU KUNA JAMBO WANATAKIWA KUFUATILIA KWANZA KAZI YAO SI OFFICE BASED THEY NEED TO GO OUT AND SEE BY THEMSELVES WHAT PEOPLE ARE COMPLAINING ABOUT, MWISHO TUNATAKA KAULI TOKA KWA SAID MWEMA, KAMA KAZI IMEMSHINDA BASI ARUDISHE UFUNGUO WA OFISI KWA KIKWETE. KAZI YA POLISI NI KULINDA USALAMA WA WAAJIRI WAO YAANI SIS WALIPA MISHAHARA YAO KUPITIA KODI ZETU. HIVI HAWAJUWI BIASHARA YA SERIKALI NI KUKUSANYA KODI TOKA KWETU KWA AJILI YA MISHAHARA YAO, SASA TUNAWALIPA MARAMBILI HII YA RUSHWA NAILE TUNAYOWALIPA MWISHO WA MWEZI, JE HIYO NI HAKI US TO PAY DOUBLT TAX ON THE SAME FOLKS
ReplyDeleteWEE MDAU WA TOKYO NAONA UNA MTU/NDUGU POLISI MBONA UNATETEA KITU KIKO WAZI KABISA KINAONEKANA HAPO HAPA TANZANIA HATA KIPOFU ANAJUWA HILO LIPO POLISI, EBU TUACHIA UGOMVI WETU TUTAMUA WENYEWE MWAKA HUU WAKATI WA UCHAGUZU MKUU, VYAMA VYA UPINZANI HUO NI MTAJI WA KISIASA WA BURE KAMA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI HAITAFANYA KITU NA KUKAA KIMYA TU, BASI TUTAWAPENE KUNA MUINGIE MADARAKANI NA KUSAFISHA HILI JESHI
ReplyDeleteJe mishahara minono inazauia mtu kutoa au kupokea rushwa?
ReplyDeleteJe kisheria unaweza kushinda kesi hii mahakamani ?
Kupitia vyombo vya habari askari wametiwa hatiani.Lakini Nchi inaoongozwakwa mujibu wa sheria.
Mpo hapo
Yale yale. Video imetolewa. Je, ni technical reasons au pressure ya Polisi Michuzi?
ReplyDelete