Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi ya Simba wa Vita huko Madale jijini Dar leo.
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akiweka mchanga kaburini
Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wakijipanga tayari kuweka mchanga kaburini
Maandamano ya wakereketwa waendesha pikipiki
Profesa Alec Chemponda msibani
Shekhe Mkuu Issa Shaaban Simba akiongea msibani. Alisisitiza umuhimu wa historia za watu kama Simba wa Vita kuandikwa na kuhifadhiwa ili kuwaenenzi milele
Askari wa FFU wakiweka kamba iliyokatika kwa bahati mbaya wakati wa kupandisha bendera ya Rais mlingotini
Hema kuu
Baadhi ya waombolezaji
waombolezaji
Mama Maria Nyerere na Mama Sitti Mwinyi
Mzee Songambele akiwa na Mh. Vita Kawawa
Mawaziri wakuu wastaafu msibani
Mh. Vita Kawawa akiwa amejitwisha jeneza lenye mwili wa marehemu baba yake
Mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali George Waitara (shoto) akiwa na maafisa wa ngazi za juu msibani
JK akiongoza sala ya maiti akiwa na viongozi wengine wakuu
maafisa wa jeshi wakijiandaa kubeba jeneza

maafisa wa jeshi wakiwasili kaburini

heshima za mwisho za kijeshi
heshima za mwisho za kijeshi. mizinga 19 inapigwa wakati huu
kikosi cha buruji kikiliza 'last post'





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Simba wa Vita,
    We will dearly miss you; you have been a crucial asset to us. We promise, we will use all the wisdom you left to us all. It is unbelievable, but that's home, every one of us is heading there. We wish you a very safe journey up there, and please keep your eyes on us, and speak to us in many ways, through dreams, thoughts and more. You were indeed a Peace Soldier and a true fighter and a tremendous African son. Although we have been saddened and disheartened by your sudden departure, we will surely inherit your wisdom and a source of light for all our remaining part of our life in this world. Indeed this World is not our home, we are just passing through! Go! Go! Simba wa Vita.
    Alex Kasengo,
    kasengo@hotmail.com

    ReplyDelete
  2. kula tano FFU alipanda juu kufunga kamba ya bendera ya rais.

    ReplyDelete
  3. Kweli hakupenda makuu, hata kaburi lake..ni lakawaida tu...jeneza lake ni la kawaida tu...!!!
    nitakukumbuka daima..

    DJ

    ReplyDelete
  4. Jamani nisaidieni mbona mzee Jumbe haonekanagi kabisa kwenye shughuli kama hizi? au hayupon nilitegemea ningemkuta angeonekana kwenye msiba huu manake natumaini alifanya kazi kwa muda mrefu na Mar. kawawa.
    Manake hata kuungana kwa TANU na ASP ilikuwa ni chini ya utawala wa mzee Jumbe kwa upande wa Zanzibar na ndo kiongozi pekee aliyebaki anayefahamu siri za Tanganyika,Zanzibar na Tanzania cha ajabu ni kwamba leo hii hasikiki kabisaa au ndo tunasubiri afe ndio tutaje sifa zake.
    Naamini kizazi cha sasa hawaelewi kuwa kama kuna mtu kama huyo ambaye muhimu sana kwa historia ya Taifa letu

    ReplyDelete
  5. Aboud Jumbe sasa ivi anaendeshwa kwa kigari na hata kuona haoni tena yaani ni mzee sana,wala hawezekani kuletwa kwenye watu seuze sehamu kama hii kabisa !nilimuona siku ya maziko ya mwanawe Fatma Aboud Jumbe kule Zanzibar.

    ReplyDelete
  6. Rest in Eternal Peace Mzee Kawawa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...