Home
Unlabelled
vumbi dekula kahanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
eE BWANA NGOMA IMETULIA, ILIBIDI NIANZE KUSELEBUKA MWENYEWE, KITU CHA KIUTU UZIMA HIKI HASA KWA WAZEE KAMA MIMI!
ReplyDeleteMuzi wa Afrika umetulia bwana!! Hawa wazungu wanalipwa ngapi hapo? usijekuta wanalipwa kuliko kahamba mwenyewe.
ReplyDeleteNawakilisha,
Mdau Canada
Ankal asante kwa hiki kipande,panaponikuna ziadi ni hapo kwenye dak ya 5:01
ReplyDeleteKuna yeyote anaejuwa kinachosemwa katika muziki huu? naona kuna kiarabu kidogo na kuna maneno kama nashukur mungu nikilsali laila shafia (nadhania anasema nashukuru mola kila siku nikisali)na pia kuna maneno mengineyo. i just want to know the meaning of the words thats all
ReplyDeleteclip ikifika 4:17 deku anapocheza, jamani mumeona kilchopo kwenye suruali? amefurahi kwa utamu wa muziki ua wanaguaji? ha ha ha ha ha ha!
ReplyDeleteNdeko na ngai, boni yo? Ngando ezali kamjyi lola makia ya ye!
ReplyDeletePapa wa mikolo,
Helsinki.
Ngoma nzuri imetulia lakini nashangaa kamjulia wapi mfalme wa Oman (Sultan Qaboos) mpaka kaamua kumwimba, kuna maana gani hapa kuimba kwa jina la mfalme huyu?
ReplyDelete