Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. eE BWANA NGOMA IMETULIA, ILIBIDI NIANZE KUSELEBUKA MWENYEWE, KITU CHA KIUTU UZIMA HIKI HASA KWA WAZEE KAMA MIMI!

    ReplyDelete
  2. Muzi wa Afrika umetulia bwana!! Hawa wazungu wanalipwa ngapi hapo? usijekuta wanalipwa kuliko kahamba mwenyewe.

    Nawakilisha,

    Mdau Canada

    ReplyDelete
  3. Ankal asante kwa hiki kipande,panaponikuna ziadi ni hapo kwenye dak ya 5:01

    ReplyDelete
  4. Kuna yeyote anaejuwa kinachosemwa katika muziki huu? naona kuna kiarabu kidogo na kuna maneno kama nashukur mungu nikilsali laila shafia (nadhania anasema nashukuru mola kila siku nikisali)na pia kuna maneno mengineyo. i just want to know the meaning of the words thats all

    ReplyDelete
  5. clip ikifika 4:17 deku anapocheza, jamani mumeona kilchopo kwenye suruali? amefurahi kwa utamu wa muziki ua wanaguaji? ha ha ha ha ha ha!

    ReplyDelete
  6. Ndeko na ngai, boni yo? Ngando ezali kamjyi lola makia ya ye!

    Papa wa mikolo,

    Helsinki.

    ReplyDelete
  7. Ngoma nzuri imetulia lakini nashangaa kamjulia wapi mfalme wa Oman (Sultan Qaboos) mpaka kaamua kumwimba, kuna maana gani hapa kuimba kwa jina la mfalme huyu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...