Home
Unlabelled
afande kova akotoa maelezo juu ya jerry muro leo part II
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu Jerry Muro anahitaji ulinzi mkubwa sana maana inavyoonekana ni wazi kuwa Mamlaka ya Jeshi la Polisi (Police Authority) haitaki kabisa kushirikiana naye na iko tayari hata kumtokomeza kabisa. Tanzania, Tanzania.......!@Yetu macho!
ReplyDeleteHivi mbona afande hakuita press conference haraka namna hii wakati askari wake walipokuwa wameonekana wakihongwa huko barabarani? Au mimi nilipitwa na habari! Jeshi la polisi badala ya kushirikiana kulinda usalama wa Jerry sasa wanataka kumtokomeza ... Hii inahitaji maandamano::! LET JERRY MURO FREE, THERE IS NO CASE TO ANSWER!
ReplyDeleteHakuna Jerry Nashon wala MUroho hapa
ReplyDeleteHata wewe mtetezi ni mla rushwa
Mtego wako nakuja nao mimi
Ntakukamatisha tu
Nchi linanuka kwakuwa tunatetea waovu
Babu Seya kaonewa
Muro nae kaonewa'
Ghiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hivi kova anavyotaja macctv yalishafanya kazi anaonekana kuwatisha kama vile ni kitu cha siri ya polisi.anaonnyesha ushamba mkubwa kwani cctv si kitu cha siri.basi akaipublish.POLSI POLISI POLISI BONGO KWISHA
ReplyDeleteHivi kova anamamlaka ya kumhukumu mtuhumiwa? mbona matamshi yake yana bana upande mmoja tuu?
ReplyDeleteNa anaongea kwa msisitizo as if hukumu tayari?
wanasheria hapo vipi? si anaharibu ushahidi huyu?
Kwa kweli habari ya Jerry Muro inasikitisha hasa pale kamanda Kova anapotetea vijana wake, mbona gazeti la leo limeonyesha risiti ya pingu na wakati kamanda alisema Jerry anazimiliki kinyume cha sheria? Sheria itende haki.
ReplyDelete