Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samuel Sitta (Mb) akibadilishana mawazo na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Mhe. Tim Clarke (wa pili kushoto) baada ya kumtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Dodoma. wa kwanza kushoto ni Balozi wa Ufaransa nchini Jacques Champagne de Labriolle, na kulia ni balozi wa Italia nchini Franseco Catania ambao waliambatana na balozi Tim Clarke kumtembelea Spika. Mbunge wa Kyela na makamu mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Harrison Mwakyrmbe (Mb) akiteta jambo na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya nchini Mhe. Tim Clarke leo katika viwanja vya Bunge Dodoma. kulia ni Balozi wa Ufaransa nchini Jacques Champagne de Labriolle, ambao wapo Dodoma kujionea vikao vya Bunge vinavyoendelea.
Picha na mdau Owen Mwandumbya wa Bunge


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Thanks Uncle Michuzi. Just one correction. The one on far right in the first photo is Rene van Nes who is Political Advisor in the Delegation of European Union in Tanzania.

    Asante,

    Henry Lyimo

    ReplyDelete
  2. Hivi kwa nini Red Carpet zote za serikali ya TZ ni Pink?

    Labda ni fashion yetu, lakini mimi ningependelea zaidi kama ingekuwa ile Red Pa Se, ya dhati, iliyokolea na isiyokuwwa na wasiwasi. Wenzangu mnasemaje?

    ReplyDelete
  3. mabalozi wa nje mbona wanafululiza kuja mbungeni?tena adi wamwone Sitta mwenyewe sio wale Ag.

    mh nihabarishwe

    nb:rangi si hoja ata tukiweka ya kahawia poa tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...