Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samweli Sitta (wa pili kushoto) akibadlishana mawazo jana mjini Dodoma na Waziri wa Fedha na Uchumi Mustafa Mkullo(wa pili kulia) na Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi Kaptain John Komba (wa kwanza kulia) na Mbunge wa Kinondoni Idd Azan (wa kwanza kushoto) mara baada ya kipindi cha maswali na majibu cha kikao cha saba cha Mkutano wa 18 kumalizika asubuhi.

Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM)Paul Kimiti(kulia) akibadlishana mawazo jana mjini Dodoma na Mbunge wa Singida Mjini (CCM)Mohamed Dewji(kushoto) na Mbunge wa Kinondoni Iddi Azan (CCM)mara baada ya kipindi cha maswali na majibu cha kikao cha saba cha Mkutano wa 18 kumalizika asubuhi.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Mi napendekeza Mohammed Dewji agombee urais. Halafu baraza la mawaziri lisitokane na wabunge. Niulizeni kwanini.

    This guy is good at running his companies. Maybe it is high time Tanzania is run like a company, in such a way that EVERYBODY is answerable and NOBODY messes with the CEO (President)!!

    ReplyDelete
  2. HAYA MATUMBO TENA JAMANI NI UGONJWA NINI?

    ReplyDelete
  3. we mpumbavu sana aidha utakuwa MO mwenyewe au hawara yake pumbavu sana wewe eti dewji Presidente chizi wewe au utakuwa ponjoro kama yeye na wewe michuzi usibanie banie comments

    ReplyDelete
  4. wabunge wasikuizi wapo poa sana si kama wa zani vitambi tu. hapo komba tu ndo kaaribu na pila lake.

    ReplyDelete
  5. We anonymous wa 7:56:00 pumbavu si ndio wewe hapo unaedhani maoni yako tu ndio sahihi? Jifunze kufikiria nje ya box (think outside of the box). Una ufinyu wa mawazo wewe. Aliekuambia waTanzania wenye asili ya Asia hawana haki ni nani?

    ReplyDelete
  6. Hakuna kupigiana debe hapa. Rais lazima aheshimike katika anga zote ikiwamo jamii ya wasomi na sio Dewij anaye-copy na ku-paste maandiko ya wengine bila kibali wala shukrani.

    Michuzi hii huwezi kuibana kama ulivyoruhusu ya mwanzo!

    ReplyDelete
  7. Mo is handsome.ytupo single?

    ReplyDelete
  8. Mr. Michuzi,

    shame on you to post a comment from a person Anonymous 7:56) re ponjoro etc...Mo Dewji is a Tanzanian and also is a Tanzanian MP and with respect is called Mheshimiwa by us Tanzanians....why post a comment when this guy is discriminating clearly based on skin colour? what is the difference between MO and the next MP in the picture?...Skin colour....and You my friend by posting such comments are igniting flames of ubaguzi and is a de service to all wadaus who use your blog to get info from back home...dis service to all Tanzanians of every kind....shame on you michuzi

    ReplyDelete
  9. hapo juu napenda sana mnavyokorogana endeleeni tu kutupa burudani vita vya panzi furaha ya kunguru!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 22, 2010

    ubaguzi ndo unatufanya tuwe maskini..
    i guess you need to study politics my friend (7.56)
    if you think you are the best then wewe gombania hiyo nafasi ya president tuone...
    chekki hata sidhani kama utakuwa hata balozi..
    respected michuzi i guess you shud ban watu who r discriminating. they deserve nuthing

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...