Home
Unlabelled
jakaya kikwete with AU leaders
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi huyu Abdillah Yusuf hawezi kutafuta kibarakashe kizuri zaidi chenye hadhi??
ReplyDeletemichuzi naomba nikusahihishe kidogo. huyo Rais wa Somalia anaitwa Sheikh Sharif Ahmed. Huyo Abdilahi Yusuf alikua ni Rais wa zamani OCT 2004-DEC 2008. Asante
ReplyDeletePia na mi naomba nisahihishe huyu si rais wa somalia Ni rais wa KENYA,sasa kama Rais wa somalia Office na Ikulu yake ipo Mji gani?Na huyu wa chini kazaliwa JAPANI NIN,au ni mwenyekiti wa ASIA umekusuan maana Jean Chin ni majina ya Japenga huko(Nuramo)
ReplyDeleteAnkal Michuzi naomba nikusahihishe kuhusu Rais wa sasa wa Somalia.Rais wa sasa wa Somalia ni Sheikh Sharif Ahmed.Huyu alikuwa ni mwenyekiti wa chama cha upinzani cha ARS(Alliance For The Re-Liberation Of Somalia) na pia ni kiongozi wa Muungano wa Mahakama za Kiislamu nchini Somalia.Alimshinda kwa kishindo mpinzani wake Maslah Siyad Bare ambaye ni mtoto wa Rais wa zamani wa Somalia marehemu Siyad Bare kwa kura 293 katika uchaguzi uliofanyika siku ya Jumamosi ya Januari 31,2009.
ReplyDeleteRAIS WA SOMALIA NI SHEIKH SHARIF AHMED SIO ABDILLAHI YUSSUF.
ReplyDeleteHuyo Jean Ping si Mjapani, ni mtoto wa mama wa ki-Gabon na jibaba la Kichina. Aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon chini ya bingwa mmoja aliyeitwa Omar Bongo ambaye mtoto wake sasa ndiye Rais huyo hapo na JK, Ali Ben Bongo. Jean Ping ndiye anayeongoza Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Ana shahada ya uzamifu katika uchumi kutoka Ufaransa.
ReplyDelete