Do you own a .tz domain name?
If you are a .tz domain-name holder, you understand the value it brings to your enterprise. Whether yours is a commercial or non-commercial entity your .tz domain name identifies you while at the same time convey your credibility that is associated with Tanzania. In fact, in the minds of most Web surfers, sites that spot a .tz domain name reflect enterprises that provide trusted information or services.
Therefore, avoid generic domains like
xyz-tanzania.com or abc-tz.org by registering country code domains like xyz.co.tz or abc.go.tz with Tanzania Network Information Centre (tzNIC).
Rush now before your name is grabbed by somebody else


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. NA KISWAHILI BASI MIE HAPO MMENIWACHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA TALAKA TATU.

    ReplyDelete
  2. WHAT YOU ARE TALKING IS NOT TRUE, I HAVE SEEN MANT WEBSITE WITH COUNTRY DOMAIN AND STILL YET NOT TRUSTFUL, BELONNGS TO INTERNATIONAL FRAUD STARS.

    YOU JUST SELL YOUR BUSINESS, NOT CHEATING PEOPLE BY DISTORTING THE TRUTH ABOUT THE REALITY OF TODAY'S WORLD. KUNA MIJIZI IMEKUBUHU DUNIANI HUKU SIKU HIZI, WANAKUTENGEZEA KITU UKAONA NI CHENYE CHA UKWELI NA UKAIBWA

    ReplyDelete
  3. ....Register naTanzania Network Information Centre (tzNIC)...tutaregister vipi wakati hakuna address, hakuna website,hakuna email address, hakuna namba ya simu....tutaregister vipi sasaaa, especially wale tulio nje ya nchi...Bongo bwana, ufisadi umetumaliza akili za kufikiria.

    ReplyDelete
  4. Ditto mdau wa tatu.

    ReplyDelete
  5. Jamani wapo LAPF Millennium Towers, Ground Floor Suite 04, Tel +255 22 2772659; e-mail - info@tznic.or.tz / manager@tznic.or.tz; Website: www.tznic.or.tz
    Nimeona pia wana libeneke lao kwenye magazeti kadhaa this week. Nitascan na kuwapatia wadau ... tena yaendana na maelezo alotoa kaka Michu hapo juu.

    ReplyDelete
  6. Anonymous wa 1:
    Anachosema michu ni kuwa tusajili majina ya vikoa (domain name) zinazoishia na dot tz badala ya zile za dot com. Manufaa yake ni utambulisho na credibility (kwa kiswahili ???). Website yenye inayotumia dot tz itaaminika na watumiaji ukilinganisha na ile itumiayo dot com. Hebu fikiria muuza magari kupitia mtandao akiwa na tovuti inayotumia dot com na mwenye tovuti itumiayo dot jp (Japan internet registry) ... wa dot jp tutamuamini zaidi kwani ni rahisi kutrace aliko. Vivyo hivyo kwa dot tz... Tuchangamkie jamani kabla wajanja hawajayawahi majina mazuri kama jambo.co.tz, habari.co.tz, jahazi.co.tz, nk.

    ReplyDelete
  7. Nahisi kiswahili chake chaweza kuwa hivi:
    Una jina la kikoa (domain name) cha .tz?
    Kama umesajili jina la kikoa cha .tz hakika unatambua manufaa yake katika utendaji wa taasisi yako. Hata kama taasisi yako ni ya kibiashara au siyo ya kibiashara, jina la kikoa cha .tz linakupa utambulisho na pia hadhi inayoendana na nchi yetu ya Tanzania. Hakika, taswira inayojengeka akilini mwa watumiaji wa mtandao (Web surfers) kwa tovuti zinazotumia majina ya vikoa vya .tz ni kuwa taasisi husika zinatoa huduma au zinafanya biashara za uhakika na zinazoaminika.
    Hivyo basi, epuka majina ya vikoa kama xyz-tanzania.com au abc-tz.org kwa kusajili majina ya vikoa vya .tz kama xyz.co.tz au abc.go.tz na Tanzania Network Information Centre (tzNIC.)
    Wahi sasa kabla jina lako halijasajiliwa na mtu mwingine.

    Walioko BAKITA tusaidieni....

    ReplyDelete
  8. hivi mmeuliza kuregister hiyo .tz ni kiasi gani?

    inachekesha kusema ukweli!

    na kuhusu mambo ya identity, niambie domain moja ya .tz ambayo inaaminika zaidi eti kwa sababu tu ni .tz....libeneke hili lenyewe halitumii .tz na wote tuko hapa!

    yaani cost ndio imeua bendi kabisaaaaa

    ReplyDelete
  9. Gharama za kusajili .tz domain zinapatikana hapa:
    http://www.tznic.or.tz/docs/price_list.pdf
    Nadhani ni affordable kwani registration fee Madafu 25000 ni one time charge. Miaka mingine una renew kwa Madafu 20,000. Kwa kuwa ni not for profit inabidi wadau tufuatilie gharama za uendeshaji na domain hai zilizopo ili baadaye gharama zipungue zaidi. Kuna sehemu kwenye site yao wanasema hizi rates ni flat hata kama usajili utakuwa unafanywa na Registrars (agents wa tzNIC) na eti commission ya agent imo humo humo.
    ... Tuchangamkie ili tuwe na local contents zetu online kwa kutumia .tz.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...