mwanamuziki mkongwe anayeishi japana fresh jumbe mkuu akiongea na umati wa wadau uliofurika hoteli ya landmark jijini dar usiku kuamkia leo wakati wa onesho lake lililofana sana akishirikiana na twanga pepeta. fresh jumbe atafanaya maonesho mengine tanga baada ya onesho lake na bendi yake nzima kufanya mambo sauti za busara zenji wiki ijayo
madansa wa twanga pepeta wakisaga visigino, staili mpya ya bendi hiyo maarufu

fresh jumbe na twanga wakipepeta
fresh jumbe akisaga kisigino na lwiza mbuttu na rogert hegga katapila
mafumu bilali bombenga 'super sax' alikuwepo kumpa taffu fresh jumbe

wadau wakiserebuka wimbo wa 'mapenzi ni kikohozi'
mduara wa nguvu
fresh jumbe akipozi na da'asha baraka, ankal na mdau
fresh jumbe na ankal na wadau
mratibu wa maonesho ya fresh jumbe papaa juma
mbizo akimpongeza mwanamuziki huyo kwa kazi nzuri










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ankal mbona mkeo sijawahi kumuona? Au unajipendelea na ze flanazzzz mbona inachoka=?????

    ReplyDelete
  2. ankal,
    ashakum si matusi, hivi hizi picha zooooote unazotokea . Ni nani anakupiga wewe picha lakini ?
    una moiga picha wako ? mbona hutuwekei picha ya mpiga picha wako ili atupige picha na sisi.
    Ni hayo 2.
    Kaima !
    (Idumu CCM Northampton UK)

    ReplyDelete
  3. Mzee wa Maji ukirudi usisahau khanga na udi wa mawardi

    ReplyDelete
  4. hivi huyu fresh kikosi chake kiwapi ?

    its good to see tanzanians wanamaendeleo kidogo

    mdau visiwani !

    ReplyDelete
  5. Ankal
    Sasa hivi NO COMMENTS kuhusu ze fulanazzzzz inabidi kuiibe.

    Mdau- Mzalendo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...