mwanamuziki mkongwe anayeishi japana fresh jumbe mkuu akiongea na umati wa wadau uliofurika hoteli ya landmark jijini dar usiku kuamkia leo wakati wa onesho lake lililofana sana akishirikiana na twanga pepeta. fresh jumbe atafanaya maonesho mengine tanga baada ya onesho lake na bendi yake nzima kufanya mambo sauti za busara zenji wiki ijayo
madansa wa twanga pepeta wakisaga visigino, staili mpya ya bendi hiyo maarufu
fresh jumbe na twanga wakipepeta 








ankal mbona mkeo sijawahi kumuona? Au unajipendelea na ze flanazzzz mbona inachoka=?????
ReplyDeleteankal,
ReplyDeleteashakum si matusi, hivi hizi picha zooooote unazotokea . Ni nani anakupiga wewe picha lakini ?
una moiga picha wako ? mbona hutuwekei picha ya mpiga picha wako ili atupige picha na sisi.
Ni hayo 2.
Kaima !
(Idumu CCM Northampton UK)
Mzee wa Maji ukirudi usisahau khanga na udi wa mawardi
ReplyDeletehivi huyu fresh kikosi chake kiwapi ?
ReplyDeleteits good to see tanzanians wanamaendeleo kidogo
mdau visiwani !
Ankal
ReplyDeleteSasa hivi NO COMMENTS kuhusu ze fulanazzzzz inabidi kuiibe.
Mdau- Mzalendo