Home
Unlabelled
JK azindua Zinduka: Kampeni ya kupiga vita Malaria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JK na vidolezzzzzzzzz!!!!
ReplyDeletetanzania bila malaria inawezekana
ReplyDeleteTANZANIA TUACHE USANII, ZINDUKA ITAKUWA NI TAFRIJA KAMA NYINGINE ZILIZOPITA KWANI WANAOANDAA NDIO HAOHAO WANAOTAKA KUFANYA BIASHARA YA KUUZA VYANDARUA HAWAKO TAYARI KUONA MAZALIO YA MBU YANATOKOMEZWA. NI VIONGOZI HAOHAO WALIUA MRADI WA WAJAPANI AMBAO ULIONESHA MATUMAINI MAKUBWA SANA KUANGAMIZA MBU. WAKATI ZINDUKA IKIZINDULIWA WAKAZI WA DAR HAWANA HABARI YOYOTE KUHUSU KAMPENI HIYO! TUMESHINDWA KUONDOA TAKATAKA AMBAZO NI RAHISI KUZIONDOA TUTAWEZA MALARIA.
ReplyDeleteMAFISADI NI WENGI SN WANAJARIBU KUTOKA KILASIKU KWENYE MAGATETI KUSUDI TUWAONE WANASAIDIA KUMBE AMNA CHOCHOTE,MTAKUFA SIKU SIZENU NA KUZIKWA MAKABURI SI YENU MLY NYIE
ReplyDeleteNakubaliana sana na mdau wa pili hapo juu. Haiwezekani kutokomeza malaria kwa vyandarua au Dawa Mseto bila kutokomeza mazalia ya mbu. Kampeni kubwa ingelenga katika kuboresha mazingira kuliko hii ya vyandarua. Nimeshangaa President kusema hiki ndicho kiwe kizazi cha mwisho kufa kwa malaria. Hii itakuwa ni ndoto kwani hao wafadhili kwao hakuna mbu wakati katika nchi za tropiki ni kitu kinachoishi nacho. Ile kampeni ya Wajapani ilikuwa ni positive katika kuangamiza mazalia ya mbu. Hata mara baada ya Uhuru kulikuwa na mtu mwenye cheo cha "African Malaria Officer", kazi yake ilikuwa ni ku-spray dawa kwenye vichaka karibu na makazi ya binadamu, vyooni na kwenye maji machafu, siku hizi hakuna. Huu mradi wa vyandarua vyenye dawa kweli tunauona ni mradi mkubwa uliofadhiliwa fedha nyingi lakini mafanikio yake yanaweza kuwa kidogo bila kwenda sambamba na utokemezaji wa mazalia ya mbu.
ReplyDeleteDuh kwanini tunakimbilia neti wakati kuna njia za kupunguza mazalia ya mbu!!
ReplyDelete