mwinyi wa machozi band akikupa vitu vya london beat. chini orijino yenyewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. WHAT A DISASTER!!!HE is good at some thing else!!he was completely knocked out by the song!!!

    ReplyDelete
  2. mbona mambo jamani band nyingine hizi zina mambo ni nn machozi band ameimba huu wimbo wa chini hahahahahahahahahahahhaaahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa what i've been thinking about you ok bravoooooooo

    ReplyDelete
  3. Du!!Michuzi umenikumbusha high school na pank langu kichwani nilikuwa sielewi kitu. Huu muziki ukipigwa kila mtu alikuwa kwenye floor!!!!!!Nice.

    ReplyDelete
  4. ah jamani mbona tunarudi nyuma badala ya kwenda mbele,yani ni tofauti kabisa,mbona bss imewekwa kurekebisha watu...naomba waimbaji waimbe sauti wanazoziweza sio ilimradi kuimba.tunaahibishana sijui hata hao wanaocheza wanasupport nini..vizuri kuambizana ukweli.tid umechemsha!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...