usafiri mkuu wa ifakara ni baiskeli
kiota cha luninga ifakara
kiota cha luninga ifakara kwa karibu
posta ya zamani ifakara




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Inapendeza ankal namna hii kutupa mandhari ya kwetu ifakara.

    ReplyDelete
  2. Nimevutiwa na hiyo Parking hapo mbele(Vibaiskeli)Natumaini hapa hakuna ushenzi kama wa Mlimani City.

    ReplyDelete
  3. Ankal umenikumbusha mbali saaana, nakumbuka mwaka tisini nilipiga kavekesheni kidogo ila mimi sikuwa mvivu kama wewe, wewe umeishia tu Ifakara sasa mimi mwenzio nilitinga mpaka Ngombo sijui kama unapajua? Sasa wakati narudi nikafika hapohapo posta ili nipige simu home niwajulishe kuwa nsharejea toka Ngombo na sasa niko Ifoza ndio najiandaa kukwea SHARUKS nirudi Dar, Basi unaambia kupiga simu mpaka iende kwa operator ndio akuconect na unapotaka kuongea, ndugu yangu nilisimama takribani masaa mawili kwenye hicho kibaraza mpaka nilikoma ndio badae nasikia kaka pokea simu hapo nje. Ila sio sili niliinjoi bwana ,Si umeonja VITOGA au wenyeji hawajakupeleka Lumemo?

    ReplyDelete
  4. Jamani dunia ni kijiji sasa.Siamini kama miaka mitano iliyopita nilikuwa nakatiza mitaa hiyo kila siku nikiwa likizo kwa best wangu.Hapo posta ndo pamenichoma moyo zaidi ilikuwa short kati yetu ya kwendea duka la mchaga kununua sukari, pia kwenda church na hospitali.Jamniiiii want to be there now nikapate samaki pale kivukoni kabla sijaenda mahenge kwa Ndorobo.Thanks Michuzi picha hizi zimenikumbuka lile jua tamuuu la Ifoza na baiskeli.I'm freezing hereeeeeeee.Umewahi kutaka kugusa dream na usiweze, that is how i feeeeeeeeeeel right now.I wish i could touch that picture and be there without spending $2000 to get there.

    ReplyDelete
  5. Inaelekea Ifakara ni pasafi au umetegeshea kupiga mazingira masafi I am impressed

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...