
Ankal Michuzi!
Natumai unaendeleza libeneke kama kawa kwenye blog yetu ya jamii.
Naomba uwatambulishe wanajamii libeneke jipya la blog ya magari Tanzania: www.magaritz.blogspot.com
Humu kaka kuna matangazo ya magari yanayouzwa kila siku kutoka katika vyanzo tofautitofauti, zikiwemo showrooms na watu binafsi,
Hivyo wadau wanaweza kutuma matangazo yao ya magari BURE wanayouza pamoja au kupata fursa ya kuona magari mbalimbali yanayouzwa hapa nchini.
Nashukuru sana Ankal
na nakutakia kazi njema!
Mdau wa magaritz !
kha michuzi mbona link yenyewe kushnehi haifanyi kazi, hata nimejaribu kugoogle search hakuna kitu kama hicho au ndo inaanza kutengenezwa blog yenyewe?
ReplyDeletemtu hunapo weka kitu kutangaza jaribu kukifanyia majaribio kabla,kila laheri
ReplyDelete