Katibu wa Kamati ya Madai ya wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki , Kitengo cha Bandari Said Mikohi (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya uongozi wa Bandari kukwamisha kulipwa kwa mafao yao mpaka sasa kama walivyofanyiwa wenzao. Wengine ni Katibu Msaidizi wa Kamati hiyo Kassim Omary (kushoto) na kulia ni mmoja wa wajumbe Emmanuel Mpoto. Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO

HADI LEO HAWAJALIPWA!! MWE ZAMBI HIYO. laisi anajuwa hayo au ndo yuko bize na matayalisho ya uchagusi, nziwanyime chao jameni mweem nnungu nkulu mwee
ReplyDeleteHawa watu wametuchosha hebu niambiane wanadai kiasi gani niwalipe.
ReplyDeleteHii mbinu ya SISIHEMU kupitisha pesa ya uchaguzi huko wanairudia tena . MUNGU WANGU WEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDelete