Home
Unlabelled
MAMBO YA GAD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Gado kachemssha yaani ballot box stuffing in Tanzania? Unaona hapo, box lipo wazi, mtu anashindilia ballot papers kwenye box. JK rigged his way into Magogoni? No way, JK kashinda by 82% kiuhalali our popular presida!
ReplyDeletegado jana niliona interview yake cnn,ni mpiganaji wa kweli ,safi sana,sema kwa hapo umechemsha,au labda alitaka wakenya wasimuone anaipendelea bongo,JK hakyuiba kura,labda kwa zanzibar na baadhi ya majimbo ccm ilicheza rafu.lakini pia chadema waliiba kura karatu.hiyo ndo bongo.
ReplyDeleteJamani, kama sikosei Gad hamna mahali aliposema kuwa JK aliiba kura. Tanzania inajulikana kuwa oviously Kikwete ana kismati na alishinda kihalali. ( Sasa sijui tunapaswa kujivunia kwa hilo au tunapaswa kusikitika kuwa reasonig kapacity yetu ni ndogo na CCM huwa haihtaj nguvu sana katika kumpitisha rais...)Japokuwa hata wapinzani wenyewe ni wababaishaji watupu.
ReplyDeleteAlichokisema Gad ni irregularities zilizotokea katika uchaguzi wote, kuanzia uraisi hadi udiwani. Si kwa CCM peke yake, bali hata kwa wapinzani.
Jst like in Kenya the blame for machafuko is not just on Kibaki bt also on Odinga.