MAREHEMU PHILIP J. OMARY

FAMILIA YA DR J OMARY YA CHANG'OMBE DAR ES SALAAM INASIKITIKA
KUTANGAZA KIFO CHA MTOTO WAKE MPENDWA PHILIP J OMARY KILICHOTOEA TAREHE 18/02/2010.
MAZISHI YAMEFANYIKA HEDARU
SAME JANA TAREHE 21/02/2010.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU NA JAMAA POPOTE PALE WALIPO SISI TULIMPENDA LAKINI MUNGU KAMPENDA ZAIDI
-AMIN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ephata SozigwaFebruary 22, 2010

    What a shocking news!!R.I.P.Philip and may God give all your family strength during these difficult times.
    Ephata

    ReplyDelete
  2. poleni familia ya marehemu. siwajui na wala marehemu nilikuwa simjui ila ukiisha fiwaa unelewa uchungu! Mungu na awafariji.

    ReplyDelete
  3. Ohh, ninamkumbuka Philip enzi za Tanga School, enzi zile wakija mziki Korogwe Girls R.I.P.

    ReplyDelete
  4. R.I.P Bro Philip Sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi pole ziwafikie wafiwa wote Mama yake mzazi Bi Mboni na Baba yake Mzazi Dr. Justine Omary na familia yote bila kumsahau mke wake mpenzi na watoto wake maskini bado wadogo sana. Tunawaombea kwa Mungu awape Nguvu katika kipindi hiki kigumu awape wepesi katika kila jambo gumu.Pole nyingi sana zimuendee kaka Steven Omary yeye alikuwa karibu sana na Philip maskini.

    Raha ya milele umpe eeh bwana na Mwanga wa Milele umuangazie Apumzike kwa amani amina.

    ReplyDelete
  5. Poleni wafiwa, pumzika kwa amani Phillip

    ReplyDelete
  6. Poleni sana wafiwa . R.I.P Philip

    ReplyDelete
  7. RIP my Brother....mathew pole sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...