Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema akiongea na waandishi wa habari leo baada ya kutoka nchini India alipokuwa akipata matibabu ya ugonjwa wa kisukari. Katika mkutano huo Mrema alisema kuwa maendeleo ya afya yake yanaendelea vizuri.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ingekuwa vizuri akapumzika sasa aachane na siasa sukari si mchezo mapumziko ni muhimu na uzee nao huo unahitaji kurutubisha afya yako kwa sasa

    ReplyDelete
  2. Jamani huyu mzee amechoka si mchezo. Nakuungana ma mtoa mada hapo juu kuwa inabidi upumzike sasa. Manake umefulia sana mzee, aikambe!

    ReplyDelete
  3. huyu nae bado yupo tu????????? choka mbaya iliyobaki endeleza libeneke lako la kupita madukani kwa wahindi kuomba posho shwain duwa za waislam hazipotei bure kafara hilo.....hehe kaka michuzi unakumbuka msikiti wa mtoro huyu mtu tulimuombea kafara.....pambafu!!!!

    ReplyDelete
  4. annon wa 03.00AM inaelekea umeolewa!Mwanamme wa shoka huwezi kufurahia ugonjwa wa mwenzio.Halafu hata aliyekuoa hujui kama mgonjwa au la. unabishaa?

    ReplyDelete
  5. Pole sana Mheshimiwa Augustine Mrema. Nafurahi kusikia unaendelea vizuri. Nakumbuka sana enzi za Sungusungu, wizi na uhalifu ulipungua sana Dar.

    ReplyDelete
  6. SERIKALI PUNGUZA MATUMIZI HUWEZI KUMPELEKA MTU INJE YA NCI KUTIBU KISUKARI. CONTORL DIET AT HOME, PUNGUZA STRESS, POMBE NA FANYA MAZOEZI. JE HIVYO VITU VINA-COST HOW MUCH? I LIKE MH.MREMA SO MUCH BUT INDIA FOR DIABETIC TREATMENT NO, UNLESS NI UPASUAJI WA MOYO NITAKUBALI AU KIDNEY TRANSPLANT OK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...