Ankal!
Habari za Leo kaka?
Naomba uwafahamishe wadau wenzangu juu ya kazi Jumuiya ya Afrika Mashariki, TUSILAZE DAMU. Kuna positions kadhaa ambazo vigezo vyake ni vya kawaida sana.
Positions zenyewe ni hizi:
EAC Accounts Assistant,
EAC Health Programme Assistant,
EAC Health Advocacy Officer,
Senior Reproductive Health Officer,
Health Officer,
Senior Health Officer,
Office Driver/ Messenger,
Administrative/ Office Management assistant.
Kwa maelezo zaidi ya hizo kazi waweza

tembelea www.kazi999.blogspot.com
Nakutakia Libeneke jema misupu!
Mdau, Kazi999.
Nakutakia Libeneke jema misupu!
Mdau, Kazi999.
Big up man. be blessed!!
ReplyDeletetrying hard, the second time i see it here - good stuff!
ReplyDeletekazi nzuri sana,keep it up.
ReplyDelete