Miss TZ 2009 Miriam Gerald akiwa chini ya ulinzi huku akiwa amejifunika Kanga wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar leo kwa ajili ya dhamana yake ambapo alidhaminiwa pamoja na rafiki yake wa kiume. Miriam ameshtakiwa kwa kufanya vurugu na uharibifu wa mali wiki iliyopita kwenye ukumbi wa TPDC jijini Dar wakati bendi ya muziki inayoongozwa na binti wa hayati Mbaraka Mwinshehe, Muhtaji, ilipokuwa inatumbuiza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. HAWA MAMISS SIKUHIZ SIJUI WA WAP..A GAL TENA MISS..HOW COULD U FITGHT?TENA MBELE ZA WATU..SHAME ON U..TRY TO CONTROL UR SELF..

    ReplyDelete
  2. mlinzi amenikumbusha ile play ya chicago!

    acha hayo hivyo kweli hapo huyo binti akirupuka huyo askari atampata kweli? naamini baada ya mitat mbili tu atakuwa mahatuti, salama yake hawapo peke yao!

    Tanzania na na askari wetu bwana!!!!

    ReplyDelete
  3. Hawa vijana wanaigiza mambo ya wakina Naomi, they think they are important, next is drugs you watch
    too much America ,Uk TV, mpeni Lotery Visa aje huku US, just sayin

    ReplyDelete
  4. jamani haya tena mamiss wanarudi atena kupoteza maana, hivi hili jambo la maadili kweli hujificha? huyu mtoto wa kike hadi lupango, na yule mwenzake naye Wema vurugu tupu. kuan kila dalili ya historia kujirudia yaani kufutwa kwa haya mambo ya UMISS ama tuite MISS RUMANDE. Hawajui kazi za kufanya katika jamii baada ya kupata magari. Ni lupango tu.

    ReplyDelete
  5. please can someone take charge n take whatever crown she was given away...i mean bein miss TZ ain all abt hw u looked on the night..this girl was given responsibilities of representation of the entire nation and an opportuniy to be a great role model to young people....this is just shameful on her and i'm sure the 'miss tanzania commetee' can find a replacement. SHAME on her....

    ReplyDelete
  6. Mwaandishi wa habari nenda tena kasomee fani yako, ukitoa habari then andika kiundani, Nani mdhamini ktk dhamana ya huyu mtuhumiwa? Tupe jibu sisi jamii.

    ReplyDelete
  7. Huyu binti ametutia aibu sana akiwa kama miss TZ. Naomba avuliwe umiss ikiwa ni adhabu yake, ili na wengine wajifunze kuwa miss TZ maana yake nini, siyo ubabe!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Kuwa miss haijalishi kwamba u can't commit a crime jamani,she is a humanbeing km wengine,mbona mawazili wanakuwa wezi wa mali za serikali!mbona nchi nyingine wabunge wanatupiana viti bungeni!
    Sioni km amefanya kosa la watu kumsakama sana,kwassb amefikishwa kwny vyombo vya sheria tusubili adhabu yake,ila mi km ningekuwa hakimu ktk kesi yake ningemtoa mfano kwa mamiss watakao kuja na waliopita,lungenga angeacha hii kazi,ningeangika jugdment ambayo ingetumiwa na hakimu yyte atakaye kutana na kesi za mamiss.wamekuwa kero.
    Miriam mi nimesoma naye taqwa mwanza she was innocent na mpole,umiss unawaponza baada ya kupata gari na vijisent,vitu vyenyewe wanavipata kwa kuonesha mapaja yao.
    Umaarufu sio ugomvi,kwanza alidanganya eti she is 22 yrs of age,mwongo huyo ni mzee,

    ReplyDelete
  9. Vanesa Williams alivuliwa Taji la Miss US alipopiga picha za utupu, mfano mzuri tunao hivyo kamati ya Miss Tz nayo imvue taji na zawadi arudishe ili na wengine wajifunze. endapo ataendelea kubaki na taji basi jamii amabyo inamuona kama kioo hayo pia yatakuwa mambo ya kawaida na wengine wajao wataiga.

    ReplyDelete
  10. HUYU NI MISS KWELI MBONA AMEVAA KANGA? TATIZO HAWA NI WALE WA KINONDONI WALISHAZOEA SURUBU ZA MITAANI TANGU WAKIWA WADOGO.

    ReplyDelete
  11. Jamani Miriam kwa kuanzia sio mwaminifu kwa kila hali ! alianza kwa kusema uongo na Lundenga pia VODACOM wakaa kimya !
    1. UMRI WAKE SIO WA KWELI
    2. HAFANYI KAZI VODACOM - anauza card za simu kwenye kibanda fulani pale mwanza.

    Na kwa watu waishio pale mwanza wanajua fika maisha ya Miriam kulala kwenye madisco nk.

    Sasa hayo yaliyotokea sio jambo la ajabu - na huyo Kijana Victor ni kijana mchafusana alikuwa anatoka vile vile na miss Tanzania Nasreem Karim ! na ni check bob tu !
    LUNDENGA KAZI UNAYO lakini hatushangai kwa sababu na wewe uliacha mama watoto wako kwa sababu ! ya kamiss TANGA hakuna njia ambayo unaweza kuwafunda wengine wakati wewe sio msafi !!

    ReplyDelete
  12. mdau hapo juu umeniacha hoi na cv ya miss tz ambayoi naonekana ni ya kweli kabisaaa

    ReplyDelete
  13. gatuso dimbaFebruary 17, 2010

    mimi naona mashindano haya yafutwe hayana faida kiivo kwa jamii na wadhamini wanaodhamini shindano hili wakadhamini shughuli zingine uhuni tu hamna lolote hapa

    ReplyDelete
  14. cv yake inaendana na vitendo vyake.
    lakini atambue kuwa yeye ni kioo cha jamii.bila kujali cv yake,kwani urembo auna cv just ukiwa mzuri ni mzuri tu,kama alivyo huyo dada.
    mdau Ipinda Lusungo kyela

    ReplyDelete
  15. NYIE WOTE MLIO COMMENT NI WAPUMBAVU.HV MMETHIBITISHA HLO TUKIO AU KAMA HUYO NI MIRIAM.KITU KIDOGO MNAJUMP KWENYE CONCLUSIONS.VERY SIMPLE MINDED.HUYU SIO MIRIAM!!!!WATU MMEKAA KUROPOKA ROPOKA TU.THINK CRITICALLY PEOPLE.JISHUGHULISHENI AKILI ZICHEMKE, ALAA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...