Mchezaji mwenye ulemavu Thomas Kihiyo akirusha tufe katika mashindano ya mchezo wa mtupo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar wikiendi hii, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kupata majina ya wachezaji yatakayopelekwa Kamati ya Olimpiki Tanzania kuunda kikosi kitakachoshiriki michuano ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika nchini India baadae mwaka huu.

Wanariadha wenye ulemavu wakichuana katika mbio za mita 200 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar wikiendi hii ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kupata majina ya wachezaji yatakayopelekwa Kamati ya Olimpiki Tanzaniakuunda kikosi kitakachoshiriki michuano ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika nchini India baadae mwaka huu. Kutoka kushoto ni Mathias Jolo, Amiri Ramadhani na Wilbroad Constantine.

Mcheza tenisi ya mezani mwenye ulemavu, Fatuma Msechu akirudisha mpira kwa mpinzani wake katika mashindano ya mchezo huo, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kupata majina ya wachezaji yatakayopelekwa Kamati ya Olimpiki Tanzania kuunda timu itakayoshiriki michuano ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika nchini India baadae mwaka huu.
Muinua uzito mwenye ulemavu, Ernest Nyabalale akiinua uzito wa kilo 60 katika mashindano ya mchezo huo ikiwa ni mchakato wa kupata majina ya wachezaji yatakayopelekwa Kamati ya Olimpiki Tanzania kuunda timu itakayoshiriki michuano ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika nchini India baadae mwaka huu.

Mchezaji mwenye ulemavu, Ernest Nyabalale akirusha tufe katika mashindano ya mchezo wa mtupo katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar wikiendi hii, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kupata majina ya wachezaji yatakayopelekwa Kamati ya Olimpiki Tanzania ili kuunda timu ya taifa itakayoshiriki michuano ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika nchini India baadae mwaka huu.







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...