Mchezaji chipukizi wa timu ya Kijitonyama Stars, Karim Chambuli (pichani) amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Tumbi, Kibaha. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa wazazi wake, maeneo ya Wazo Hill. Tunawapa pole ndugu wa marehemu pamoja na jamaa na marafiki.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kweli binadamu tu wadhaifu, kijana mwenye nguvu zake anakata pumzi ya uhai katika umri mdogo. RIP Karim

    ReplyDelete
  2. Poleni wafiwa wote ndugu na marafiki pia. Marehemu astarehe kwa amani, Amina.

    ReplyDelete
  3. poleni sana ndugu na jamaa kwa kipindi hiki kigumu. Pia poleni medani ya michezo

    ReplyDelete
  4. Ajali za kijinga zinawamaliza vijana na utawala hawana njia wala sera zozote za kuzuiya hizi ajali, kweli Bongo hakukaliki

    ReplyDelete
  5. Ina lilahi waina lilahi rajuun!!

    ReplyDelete
  6. poleni wafiwa

    ReplyDelete
  7. Poleni jamani!

    ReplyDelete
  8. Inna lillahi wa inna ilaihi raajiuun. You had just started your life and the future in front of you, but Allah knows best. Rest in peace...

    ReplyDelete
  9. Inalillahi, waina ilaihi rajiun. Dah! ama kwa hakika mauti huja ghafla

    ReplyDelete
  10. jamani so handsome so young. R.I.P karry!

    ReplyDelete
  11. mvulana mdogo jamani tena handsome ivi?...poleni wafiwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...