Wawadu wanaojiita CO Family, ni WAHANDISI wa Mifumo ya Computer Migumu na Milaini, wapo wanafuraha ya kula NONDOZZZ zao pale Dar es salaam Institute Of Technology aka DIT wikiendi ilopita . Chini ni Eng. Theobald Massawe ambaye anafurahia kala NONDOZZ na Familia. Mtoto Treasure Theobald ameridhia nondozzz hiyo kaamua kuwahi kuvaa kofia. 


baby keep it up.nyota njema huonekana asubuhi.good baby!
ReplyDeletehongera kaka!!!!!!!!!
ReplyDeletekaka Massawe
ReplyDeleteMdau tulisoma nae Lyamungo Secondary
enzi za Head master Malisa,Second Master Marenge. Keep it up. Wadau wa Lyamungo Sec mpo wapi? Enzi za kunya uji uliokua Unaitwa Sifongo. Yale ndo yalikua maisha sio ya sikuizi Acadimia na St what what.
Mduu Compton Mzee wa Sobibo
Huyo mwandishi wa mada hii anamanisha soft and hard ware system ndio anaita mifumo migumu na mifumo rahisi? Kama ni hivyo tuna kazi katika kiswahili
ReplyDeletehongereni sana elimu haina mwisho big up wasomi mkafanye kazi kwa uadilifu
ReplyDeleteHivi DIT wanatoa shahada?
ReplyDeleteKama ndivyo, basi. Kama sivyo, je ni sahihi wahitimu wa chuo hicho kujiita "wahandisi"?
Swali tu
Yaana watu wanahoji DIT kongwe, ila hawahoji St. Joseph ambayo haina hata walimu imekalia twisheni tuu. Utakuwa muhandisi wa twisheni?
ReplyDeletekaka massawe nawapeni hongera kwa hiyo nondozzz....mi mdau wa uturuki ndo tumeanza sie
ReplyDeletesasa hiyo kofia inahusu kwa mtoto, watu wengine bwana
ReplyDelete