mlinzi akilinda ofisi za south african airways katika jengo la sophia house mtaa wa bibi titi street jijini dar ambazo zimeshika moto akisubiri faya wafike mapema leo asubuhi. sehemu kubwa ya ofisi na mali vimeteketea katika moto ambao chanzo chake bado hakijatajwa hadi baada ya uchunguzi wa kitaalamu kukamilika
wenye ofisi hiyo inayowaka moto, majirani na wapita njia wakihamanika wakisubiri faya
faya wanafika na kuanza kazi ya kuuzima moto huo.
mbinu za kifaya-faya ilibidi zitumie kuweza kuudhibiti moto huo






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kwishnei dili hiyo .....

    ReplyDelete
  2. Chakalaka BoomFebruary 08, 2010

    jamani, hivi sisi tuna matatizo gani, kama bado tatizo lipo na mlipuko utokee na hao wanashangaa hapo watalalamika kweli, si waende waka assemble hata Kisutu Mahakamani basi, this is crazy!

    ReplyDelete
  3. Mtoa maoni wa kwanza unaniboa!
    Dili gani unayofikiria wewe? Sio kila kitu DILI tu!
    Kuna mambo mengine ya mungu, acha mambo ya kinafiki. Kama huna cha kuongea, nenda kalale.

    Siku nyumba yako ije kuunguwa na upoteze unaowapenda, then utakuja kujuwa kumbe mambo ya moto ni ajali na mapenzi ya mungu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...