Kaka Michuzi,
Napenda kuwatakia Watanzania wote sikukuu njema ya wapendanao. Naimani leo hutonibania hii picha!
Mdau wa Tegeta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Asante mdau wa tegeta

    ReplyDelete
  2. Acha kuunga unga mambo, siku hiyo haina uhusiano wowote na hayo uliyoandika!! Soma historia yake ndo utajua aibu za siku hiyo.

    ReplyDelete
  3. wewe mdau wa hapo juu huna uelewa wowote, watu tunaijua historia yake ndiyo maana tunajaribu kuwaeleza watu wamgeukie Yesu awe ni Bwana na mwokozi wao! Okoka ndugu yangu, acha dhambi

    ReplyDelete
  4. Huu ni ufisadi wa alphabet. History ya Valentine ni upagani. Wala usiihushe na verse yenye maana kubwa hivyo katika imani. Hii ni siku ya watu kuzini, kulewa, kupigana nk nk. Wala usiihushishe kabisa na nuru.

    ReplyDelete
  5. Utumbo nifanye mimi, kuadhibiwe aadhibiwe Yesu.

    Where is the logic ya Mungu huyo aliyemuadhimu an innocent one kumalizia hasira zake dhidi ya waasi?

    Unaweza kuadhibu mtoto wako mtiifu kwa makosa ya watoto wako wakofori? Ukifanya hivyo unapelekwa hospitali ya vichaa lakini Mungu anasingiziwa kafanya hivyo!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...