Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Kanali Mstaafu Issa Machibya akiangalia dawa mseto (Multi drug therapy) zinazotibu ukoma,kwenye maadhimisho ya siku ya ukoma duniani, mwishoni mwa wiki ambapo kitaifa mwaka huu yalifanyika wilayani kilombero.
Baadhi ya wagonjwa wa ukoma waishio kwenye makazi ya watu wenye ulemavu wa ukoma Nazareti wilayani Kilombero wakiwa wameshika dawa zinazotibu ukoma kwenye maadhimisho ya siku ya ukoma duniani.
Kikundi cha maigizo cha watu wenye ukoma toka makazi ya walemavu wa ukoma cha Chazi kilichopo wilayani Mvomero wakionyesha igizo linalohusu unyanyapaa kwa watu walioathirika na ukoma,kwennye maadhimosho hayo.Picha na mdau Catherine Sungura wa Wizara ya Afya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. This disease has been with mankind for thousands of years, but I think with the introduction of MDT na single dose MDT (multidrug therapy) Inshallah baa hili litamalizika. Ukoma watajwa kwenye bibilia na katika Quraan hakim (Aaali Imran 3:49, na MasaIdah 5:110)I have a picture of leprosy patients who were being treated by Germans in Bagamoyo you may be interested to see it.
    Wakatabahu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...