Golikipa wa Kagera Sugar ya Bukoba, Amani Simba akikabiriana na mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa wakati wa mchezo wa ligi ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo jioni. Yanga ilishinda 2-1.
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa (kulia) akitafuta mbinu ya kumtoka beki wa Kagera Sugar, Muganyizi Martin wakati wa mchezo wa Ligi ya Vodacom uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo. Yanga ilishinda 2-1. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. yanga mnapoteza muda tu ubingwa watani zetu walishautwaa na lupopo wanatusubiri. la msingi hapa tusije tukaanza malumbano na hatimaye mizozo. mwaka huu tunaambulia peupeee abda hako kakombe ka pombe

    ReplyDelete
  2. yanga daimaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Kwa mechi za nyumbani ni vigumu kuwazuia yanga, akija Lupopo na wageni wengine ni kiama kulikoni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...