Ankal, Habari za leo.
Pole kwa shughuli nzito ya kuliendeleza libeneke la nanihii. Kupitia glob hii ya jamii naomba ku-share na wadau filamu moja iitwayo AFRICA ADDIO (Director wa kiitaliano Gualtiero Jacopetti na Franco E. Prosperi), ambayo inaonyesha harakati za kupigania uhuru kwa nchi mbalimbali za kiafrika hasa Kenya na Tanganyika. Filamu hii imesimuliwa kwa kiitaliano lakini ina subtitle za kiingereza, pia sehemu kubwa ni ya kiswahili.
Inapatikana kwenye playlist za google videos(full DH vesion) na pia katika youtube http://www.youtube.com/watch?v=s_fNFAMpi48.
Binafsi nimeguswa na hukumu za wazungu, walikuwa serious si mchezo.
mdau,
kayseri,uturuki


HIVI WEWE UMEANGALIA VIZURI HII SINEMA, KAMA UKIANGALIA KWA UNDANI NA KUICHAMBUA NI OFFENSIVE KWA SISI WA-AFRIKA INONYESHA JINSI GANI TULIVYO WAJINGA NA VIONGOZI WETU THEY TAKE US FOR RIDE. NA TULIKUWA BADI GIZANI KUDAI UHURU ILITUBIDI TUNGEJEE KIDOGO WATU WAALIMIKA NDIPO TUDAI UHURU, TULIDAI MAPEMA NDO MAANA SASA IVI BADO TUKO MASIKINI NA VIONGOZI WETU WANATUCHEZEA.
ReplyDeleteThis move is an insult to us Africans, try to watch it careful and you will see what I am talking about, it has no difference with MAPANKI FILM/DOCUMENTARY OF MWANZA- where they shown people in Mwanza eating rotten fishes while fresh fish steaks being transported to Europe, maybe by the same stupid Italians are the ones with this fullish low budget move.
ReplyDeleteThis is an utterly racist documentary. If you watch the footage, it is portrayed as archival or historical but much of it is staged re-enactments. I wonder how much of the violence against animals and humans that is shown was actually orchestrated by the filmmakers.
ReplyDeleteMapinki ilikuw ani ukweli kwa asilimia kubwa penda usipende. Lakini hii kama ukiangalia karibu na mwisho jamaa katoa komenti ilioniacha hoi kabisa kwamba Europe imeacha vingi zaidi hapa afrika kuliko vile walivovichukua na kuenda navyo ulaya. Hivi kweli hawa jamaa wanaeza kuweka thamani za wanaadamu (watumwa) walipelekwa ulaya???
ReplyDeleteHalafu pia anakomenti ati "Europe, that continent that nursed Africa, can not manage this big black baby, that grew too quickly, keeps bad company..." lakini hasemi kuwani kiasi gani Waafrika na mali zao walinyanyaswa na kunyonywa, yeye anaona ni sawa tu wao kutoka kwa ulaya kuja ku heng out Africa. sio ajabu ndio mana adi leo wanagangania Africa wakati huo huo hawawataki waafrica huko kwao ulaya. Mungu awabariki tu lakini bado wana mengi ya kujifunza.
This is NAZI PROPAGANDA, Michuzi advice the same who want to watch it,
ReplyDeleteCreated by NAZI,
HII NIMEIONA MIE ZAMANI NI PROPAGANDA SI YA KWELI. MSIJARIBU KUDANGANYWA KAMA WAENGEREZA NA USA TV ZAO WANAVYOHARIBU WATU AKILI NEWS UBONGO WAO WAK UAMINI. PAZI.
ReplyDeleteMTAMUONA NYERERE HUMO ILA WANACHUKUWA NUSU NUSU WANAWEKA UONGO WAO. NA SIE LINI TUTAFANYA DOCUMENTARY YA HAWA WATU? IKUBALIKE NJE?