Hi! Braza pole na majukumu
hizi ni opicha za ajali ya gari hiyo ndogo rav4 T361AUK iliyotokea
usiku kuamkia leo mida ya saa nne hivi njia itokayo buguruni kwenda ubungo, karibu na kwenye kona ya kuelekea Mabibo Hostel.
kulikuwa na roli ambalo kwa mujibu wa mashuhuda wanasema lilikuwa
limesimama katikati ya njia bila kiashilio chochote na hiyo gari
ndogo ilikuja kwa nyuma nakuliingia.
katika gari hilo alikuwemo mtu mmoja amabaye sikupata jina lake na
alipekwa hospitali lakini hali yake ilikuwa mbaya mno.

Mdau Mabibo Hostel
Bro Michuzi mbona hujatuhabarisha kuhusu ajali mbaya iliyotokea jana ya Kenya Airways kupasuka tairi mbona hujatupa News au ni ATCL peke yake ndio unaiurusha ikipata matatizo?
ReplyDeleteInasikitisha sana...taa hamna watu wa malori hawana jinsi ya kuonyesha kuwa kuna gari limesimama.
ReplyDeleteNa bongo watu wanaendesha magari na brake lights zao zimekufa sasa nyingine hata huyui gari imesimama au inakwenda....Niliogopa sana the last time nilivyokua bongo...Big sister alikua anaendesha na gari ya mbele yetu imesimama na braking lights moja inawaka lakini kioo kimepasuka na nyingine hamna...Ningekua nini mimi naendesha that day ningeparamia hilo gari kwa nyuma. Bongo ukiendesha gari ni risk sannnna