
WADAU WAPENDWA,
NINA FURAHA KUSEMA KWAMBA BAADA YA MDAU WA MILIONI 8 KUTIMIA WADAU KIBAO WAMETUMA ANUANI ZAO ILI KUPATIWA ZAWADI. TIMU YA GLOBU YA JAMII INAJIANDAA KUTUMA HIZO ZAWADI KWA WOTE WALIOWAHI KUTUMA ANUANI KATI YA MDAU WA MILIONI 8 HADI WA MILIONI NANE NA 100.
KUTOKANA NA UTOFAUTI WA MASAA KWA NCHI NA NCHI ZOEZI HILI LIMEFANYA WENGINE WATUME ANUANI IKIWA IMESHAPITA MUDA ULIOWEKWA. HATA HIVYO KWA KUZINGATIA HILO LA MUDA, ANUANI ZITAENDELEA KUPOKELEWA HADI SAA NNE ASUBUHI ZA HAPA BONGO. BAADA YA HAPO ZOEZI LA KUPOKEA ANUANI LITAFUNGWA NA ZOEZI LA KUTUMA ZAWADI LITAANZA. ZE FULANAZZZ ZITAANZA KUTUMWA WIKI IJAYO. TUFANYE SUBIRA, ILA KILA ALIETUMA ANUANI ATAPATA ZAWADI YAKE.
TUNATOA SHUKRANI ZA DHATI KWA WADAU
WOTE KWA KUENDELEZA LIBENEKE.
-MICHUZI
Ankal, hapa sijui ndipo mahali penyewe pa kutuma hiyo anuani? Wengine tunatoka vijijini kuja mjini kufuata kusoma blog hii ya jamii. Naona kuna tangazo lako la kusitisha kupokea anuani za zawadi za the fulanazzz za blog. Tafadhali ankal niweke kwenye orodha hiyo tupate fulana tuitangaze blog yetu huku Mtwara. Hata kama sipo naomba nipelekee kunakohusika kabla ya hiyo saa 4 ya bongo tafadhali.
ReplyDeleteBenedict Cleverson Emmanuel
C/O Mr. Swallah Said Swallah
S L P 1050
Mtwara, Tanzania
Asante za utangulizi.
Benedicto
Mtwara
Issa, mie pia ni mdau mzuri wa Blog hii ya wananchi, nawawakilisha jamaa zangu wa Ngome hapa Upanga,plz nakuomba usiniache katika mgao wa the FULANAZ ili niitangaze vema Blog yetu, napatikana kwa anuani hii; Bruno Lujabiko,TPDF-MI, Box 9203,DSM. Cel; 0754 554438 au 0615 554438, Thanx in advance.
ReplyDeleteMichuzi tafadhali nijibu
ReplyDeleteMimi nataka kununuwa ze fulanazzzz kwa kapesa kangu. je nawezakukutumia pesa kwa njia ya M pesa niweze kununuwa ze fulanazzz!
pia wasiliana na zeezou kama kuna uwezekano mutengeneze za form six ( za kola) goood quality mutuuzie jamani
Duh! Mimi leo nimeanzia kwenye kikao nimekosa fulana hivi hivi
ReplyDeleteObserver
utengeneze na vitop vya nademu wadau wa majuu turinge atii summer iko kwenye kona pliiz michu tunataka vitop vya kista duu na vya kawaida
ReplyDeletemdau canada
Du anko sasa huu mtihani,mm niliingia asubuhi sana kama saa moja na nusu hivi na nilipoangalia nikawa wa 8,001,400 nikajua nimeliwa na nikatuma comment hapo hapo, ss unasema alieingia mpaka saa nne saa za BONGO nae yumo na mm ndo naingia tena hivi ss naomba uangalie e mail niloituma mapema ili uhakikishe ninayosema na uniingize ili niwakilishe visiwa anuawani yangu ni
ReplyDeleteAli Talib
P.O.BOX 615
ZANZIBAR
kama haiwezekani basi naomba uniambie ni bei gani ili nami ninunue
ANKAL ni naona itakuwa poa utoe T-Shirt BUKU (1,000) baadala ya JITI (100)
ReplyDeleteMdau
Ankal...mimi nilishinda na niliprint karatasi...halafu nilipofungua site nyingine bado number nyingine ilikua ya ushindi below 100. Ila sikuiprint kwa vile nilikua nataka tshirt moja tu lajkini nimeona hao wa mtwara na sijui upanga...kweli nilikua nikutumie sasa hivi address yangu lakini natuma tu karatasi ujue kuwa nilishinda na hiyo fulana mpe huyo wa mtwara...It's not fair mtu atembee huko kote halafu asipate...
ReplyDeleteNimesikia kulia kwavile kuna vitu tunatake for grated sana tu...Nina simu inainternet, laptop inainternet, pc home internet, pc kazini internet....lakini we don't appreciate this things....
Ningeomba hata kutoa hizo zawadi wape tu watu wa vijiji kwanza wengine tuchangishwe kununua hizo tshirt
By the way mimi ni msichana na ningeomba basi line yako iwe na women styles pia....LOL
Halafu utafanyaje iwe tshirt moja kwa mtu mmoja? manake kama mimi at the time nilikua kwa blog yako ningeweza kufungua hata page sita ningekua na number ya ushindi...Don't u think kuna watu ambao walifanya hivyo na kupata number zaidi ya moja na tshirt watapata zaidi ya moja????....
mdau USA