GLOBU YA JAMII IMEKUWA IKIPATA SIMU NA EMAIL NYINGI ZA MALALAMIKO KWAMBA INAPENDELEA AMA INALALIA AIDHA CHAMA FULANI CHA SIASA AMA DINI FULANI FULANI NA KWAMBA VYAMA AMA DINI FULANI FULANI HAZIPEWI KIPAUMBELE AU HAZICHAPISHIWI HABARI ZAO.
TIMU YA LIBENEKE LA GLOBU YA JAMII INAPENDA KUKANUSHA KWA NGUVU ZOTE HABARI HIZO NA KUSISITIZA KWAMBA SERA YAKE NI ILE ILE YA 'SIBAGUI, SICHAGUI, ATAKAYENIZIKA SIMJUI'
HIVYO KATIKA KUWEKANA SAWA MUONEKANO HUO HUENDA UNATOKANA NA MOJA YA SABABU ZIFUATAZO KAMA SIO ZOTE:
AMBAYO IKO WAZI KWA WOTE KULETA HABARI NA PICHA
2. HAVITOI TAARIFA MAPEMA YA KUWEPO KWA SHUGHULI ZAO ZINAZOHITAJI COVERAGE
3. HAVINA IMANI NA TEKNOLIJIA HII YA HABARI
4. HAVIJUI NJIA GANI VITUMIE KULETA AMA KUFANYA HABARI ZAO ZITOKE (kama namba 1 ilivyoainisha)
5. HAVINA HABARI
KWA HESHIMA NA TAADHIMA TUNASISITIZA TENA KWAMBA SI KWELI KWAMBA GLOBU YA JAMII INA UBAGUZI WA AINA YOYOTE ILE.
HIVYO BASI, ENDAPO KAMA UNA TAARIFA, HABARI AMA PICHA AMBAZO HAZICHAFUI HALI YA HEWA JISIKIE HURU KUUTUMIA MTANDAO HUU WAKATI WOWOTE NA KWA LOLOTE LILILO NDANI YA MIPAKA YA SHERIA NA MISINGI YA HABARI INAYOZINGATIA DEMOKRASIA YA UHURU WA KUPATA NA KUPASHA HABARI.
MSISITIZO: MAONI YENYE KASHFA KWA MTU AMA KUNDI YAKIWA NDANI YA USHUNGI WA 'KUKOSOANA' AMA 'KUPEANA UKWELI' HAYANA NAFASI. FURSA NI KWA YALIYO NDANI YA MIPAKA KAMA ILIVYOAINISHWA HAPO JUU.
-MICHUZI
2.


UNCLE UR SO GENEROUS...BUT AS U KNOW U CANT PLEASE EVERYONE
ReplyDeleteWEWE NDIYE MODERATOR. UKWELI HAUPITISHI KILA TOPIC AU COMMENT . HII NI BLOG YAKO, HAUNA SABABU YA KUFEE GUILTY AU KUJITETEA UONGO.
ReplyDeleteThis is all bullshit. What about my comments that I commented and posted regarding CCM party in Reading UK. Even this you wanna tell me that it came very late. No way, I thank God that am not behind technology and I love it and I know how to use it. Now what is your excuse ISSA? If your audience condemn you for that, there is possibility that, thats how you're. Take the critics and work on them and make a change. If you've decided to educate, inform and entertain your audience, please do so fully and not keep defending yourself when you're not suppose to do so. Thank you.
ReplyDeleteDuh Wanataka Kumkamuwa Ankal sasa U NEVA WOKI ALONI ANKAL USIJALI TUPO PAMOJA KAMA ULIVYOSEMA HUBAGUI HUCHAGUI ATAYETUZIKA HATUWAJUI INSHALLAH MUNGU ATAKUFUNGULIA ZAIDI MAZURI NA MOYO WA KUTOKUKATA TAMAA.
ReplyDeleteAnkal michuzi Assalam alaikhum
ReplyDeletehapa habaguliwi mtu,wenyewe tu wanakikanganya kila siku unaweka kwaya au neno la bwana la mchungaji fulani atakuwa marekani au vipi.lakini hatuoni za maulidi sana.
kama vyama vya siasa hakuna aliefukuzwa hapa.Cuf umeweka habari za Seif Juzi na leo umeweka za CCM KUHUSU CHADEMA WAO WANA FORUMS YAO inaitwa jamii forums ndio wanaona kulipa zaidi kwao na wameajiri watu.sasa kama wao wenyewe hawataki utawalazimisha?
OOOK Kaka Michuzi mzee wa fulana
ReplyDelete....you are right kabisa...kuna swali dogo kwa hii glob,
Kama hili lililoandikwa ni kweli ni kwanini hurushi baadhi ya comments zinazogusia kuulizia baadhi ya mambo yanayolenga vyama au chama....mfano zimerushwa comments zaidi ya nne kuulizia ""kama ni sahihi watumishi wa Umma kujihusiaha na shughuli za siasa za chama chochote kile katika maeneo yao ya kazi...na hii ilikuwa ni kutokana na habari ya Balozi mmoja wa Tanzania kuonekana katika picha katika shughuli ya chama fulani cha siasa katika nchi anayoiwakilisha Tanzania. (hiyo comment ikaongela pia jinsi wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma wanavyokatazwa kujihusisha na siasa)....kuna jibu au hii comment nayo inaminywa pia....
Ankal...kwa kweli hii blog iko safi sana na inaweza kutumika kuendelea kuleta mabadiliko makubwa ya maendeleo Tanzania (ila ina fix fulani ambazo lazima zirekebishwe kama kweli ni glob huru ya jamii)
keep up the good work...as the other guy said...you can not please everyone...and I can tell you your mawazo's are free and fair...keep up the good work...keep up the good work....we love you michuzi...mdau canada
ReplyDeleteAnkal asante kwa kujibu shutuma na kuweka mambo sawa.
ReplyDeleteMunaolalamika mumeshaambiwa nini lakufanya sasa kazi kwenu.
(US Blogger)
Ankal hizo zitakuwa kampeni za Man United.
ReplyDeleteWanaona hutangazi vibao vyao vya kuvizia.
(US Blogger)
ACHA UONGO UNAPENDELEA.ZIKIWEKWA PICTURE ZA WATU UNAPENDELEA COMMENTS WENGINE HAU-APPROVE MATUSI WATU ULIOWASHIBA.
ReplyDeleteWENGINE UNA APPROVE WATUKANWEEEEEEEE.NA WANATUKANWAAAAA.
usiminye comment.
Uncle Tuelimishe mbona issue ya Ruge na Mr II. haukuirusha? au utadai haukupata? hata hii comment najua utaficha
ReplyDeleteHata comments ni lazima zitumwe kwa hiyo email?
ReplyDeleteNingekua sijaanza kuread blog yako toka siku ya kwanza ulivyofungua na mimi ningeshakuhama. Kuna saa nyingine ur 2 much my dear ankal kutupa comments za watu wakati hazina matusi wala nini....Mtu anachukua muda wake kuandika point za maana kwa vile zimelala upande tofauti basi unazitupa kapuni.
Watu wanakerwa na hayo kwenye comments sidhani kuwa ni kuhusu kutuma habari zao uwatandikie humu.
Twajua "huchagui, hubagui, hujui atakayekuzika" lakini mweeee twajua watupia kapuni kwavile unajua anayekutibu....LOL
Mchana mwema
Kweli kabisa hata mim hiyo nimeshainote especially kwenye upande wa comments kuna comments nyingine michuzi unazibanaga kiaina hasa zile ambazo zinaumiza upande fulani ambao labda unakua unautetea,hata hii sina uhakika kama utaitoa.
ReplyDeleteNI KWELI KABISA BWANA MICHUZI HATA MIMI NAUNGA MKONO TUHUMA HIZI,KWA MFANO KAMA MIMI NILIWAHI KUKUTUMIA EMAIL KAMA MARA MBILI ZINAZOLENGA KUSEMA HUKWELI KUHUSU CHAMA FULANI,NA UKAITIA KAPUNI,NA SIKU MOJA ULINIJIBU PELEKA HUO UTOMBO HUKO HUKO,
ReplyDeleteMIMI NAKUBALIANA NA KABISA NA HAYA MALALAMIKO.
LAKINI UKILETEWA TAARIFA ZA KUPONDA CHAMA KINGINE UWA UNAZITOA KWA NGUVU NA TAADHIMA ZOTE.
HII PIA UWA UNAFANYA PIA KAMA MTU KASEMA MIMI NI MDAU WA UKEREWE BASI UTAITOA FASTA KWELI,BUT UKISEMA TU MIMI NIMETOKA MANZESE UNATIA KAPUNI,
TENA NILIWAHI KUKUJARIBU ONE DAY NIKAWEKA MDAU WA BONGO HAUKUTOA,SIKU NIKAGUNDANGANYA MDAU WA ULAYA AKA MBEBA BOX UKAITOA TENA FASTA
akitokea mtu mwingine akaanzisha blog ya jamii na kuiboresha tunahamia kwake manake wewe sio siri unachagua baadhi ya koment ambazo unadhani zipo tofauti na mtizamo wako... nimekuwa nikituma comment baadhi umekuwa huzitoi wakati majibu yanaonyesha zimekufikia
ReplyDeleteTatizo liko hapo kwenye kuchafua hali ya hewa,ndo ubaguzi unapokuja,manake definition yako ya kuchafua hali ya hewa inatofautiana na hao wengine.Na pia hiyo misingi nayo ndo tatizo lilipo,haieleweki hyo misingi ni ipi,isije ikawa habari tu ambayo wewe unaona itamuumiza flani na wewe usingependa aumie basi ukaiminya kwa sababu ya "misingi" ya uandishi.
ReplyDeleteMiaka ya 80s ilikuwa habari kama ya babu seya isingepewa coverage kabisa kwa sababu ya misingi na mipaka ya sheria ya habari,kabla ya stori ya Maumba kulikuwa na hayo matukio lakini yalikuwa hayatoki kwenye vyombo vya habari.Je hiyo misingi imebadilishwa lini mpaka hali sasa iko hivi?
"Your comment has been saved and will be visible after blog owner approval." Kila koment yangu huwa unaisave kwa matumizi yako tuu ila kuna siku nilimsimfia mtu aliyestahili kuponda ukaipost fasta
ReplyDeleteankal ukweli unauma lakini ni kweli unatabia flani mbaya ya kubana meseji hata kama haina matusi alimradi unajua anaepewa vidonge ni swahiba wako basi siku hiyo utashinda kutwa kutoa macho ka tunguri ili tu kubana meseji za wenye usongo sio vyema acha watu waelimishe jamii sasa nini maana ya blogu ya jamii? acha tujinafasi kwa raha zetu watu tushazoea humu ndani ukibana huwa una tudisapointi kinoma sio fresh na hainogi raha ya blogu comment babu ennnh!!
ReplyDeletehata nbwawa la maini mkitundikwa weka tuuu watu wafurahishe mitima yao sio manuu tu tukibondwa inarushwaa as a breaking niuz hainogi tunataka haki sawa hata kama ni blogu yako watu tushafall in luv humu usituudhi kabsaaa hii blogu ni yetu sote achia meseji kama u- turn huko hakuna kuremba watu wanajiachaia vilivyo ndo blogu inakuwa almaarufu umesikia eenh
ReplyDeletesasa wewe wataka tutoe comments za kusifia tu, so close this blog. lazima kukosowana bwana, ndio utamu wa blog.
ReplyDeletewe anony wa mar 12 10:31 hata huko u-turn mama yule huwa anabana comments na topic nyingine vile vile. Huwezi mlazimisha mtu maana blogu ndio za kwao hivyo tunafuata wapendavyo wao hahahah!
ReplyDeleteNIMEFURAHI SANA ANKAL UMEJILETA MWENYEWE UKAELEZWA UKWELI SINA ZAIDI LA KUONGEA KWA SABABU YOTE AMBAYO YALIKUA YANANIKERA KUHUSU BLOG YAKO HASA MAMBO YA KUMINYA COMMENT YAMESHAONGELEWA NA NILIKUWA NAKOSA MAHALI PA KULALAMIKA NAKUPONGEZA SANA KWA KUJILETA MWENYEWE NIMEAMINI KUMBE SIO MIM MWENYEWE NILIKUWA NAYAPATA HAYO MASAHIBU,LAKIN KWA UPANDE MWINGINE WA SHILINGI NAKUSIFU SANA BLOG YAKO NI NZURI SANA NA KWA SASA HIV IMEKUA KWA KIWANGO KIKUBWA SANA NAKUPA BIG UP MISUPU.
ReplyDeletePeople should understand that this is your blog. You are under no obligation to post everything sent to you. It is and always will be your prerogative to decide what to post. If people have a problem with it then they should read elsewhere or start up their own blogs!!
ReplyDeleteUNABANIA COMMENT ankaliiiii!!! tena sio z amatusi just normal critics sijui kwakuwa hazijabase upande unaotaka wewe au wanaotaka hao wahusika??ushauri ankali hii blog inapendwa sana na watu na ndio pekee inatuletea habari za ukweli na uhakika kaka uwe unarusha comments hata km hazina matusi critivsm is critivs and at the end of the day ni maoni ya mdau sio lazima iwe ukweli otherwise mie huwa sicomment tena maana uliniudhi sana sema leo nimeamua tu kukupa kipande chako kidogo.
ReplyDeleteMDAU BURUNDI
HONGERA KWA KUWEKA BAYANA
ReplyDelete'BWANA MICHUZI MALALAMIKO ULIYOPOKEA YANA UKWELI FULANI' mimi niliwahi kutoa maoni mara 2, na yote uliyabania! moja lilihusu ufunguzi wa tawi la chama fulani London, na lingine kwenye hotuba ya Muheshimiwa ya mwezi wa Februari( hii ilihusu kubania maoni hayo hapo juu, na upendeleo wa kwa chama fulani)! na yote ukayabania.
Blog yako inatuelimisha,nasi inabidi tuchangie kusaidia kuboresha blog na wanablog waelemike pia.
Hivo tukiwa tunakusikiliza bila kutoa maoni itakuwa kituko KAMA SIO KISINZIA HUMU!
Jitahidi mambo ya siasa yasielemee chama fulani tu.
USIBANIE HAYA MAONI TAFADHALIIIII
THANKS
You Anonymous of Tarehe Fri Mar 12, 12:07:00 PM.
ReplyDeleteYour comment is very naive. You are saying that Ankal has right to post whatever he wants. I think you don't understand that Ankal has created this blog for people to use that is why he calls it globu ya jamii. He needs many people to read his blog. In the future blog can be big business in which people can use it as media of advertisments. There is potential revenue here.
Ankal don't buy this guy comment. Always try to attract many people to use your blog by offering what many people want. Remember all these users are potential customers to you.
Ankal si wengine tunakushukuru kwa kutupa nafasi hii ya kupata habari mbalimbali kupitia blog hii.Ukweli ni kwamba huwezi kumridhisha kila mtu.Unakila haki ya kubania au kutoa kile unachofikiri kinaendana na malengo ya blog hii ama ujumbe unaotaka ufike kwa jamii kupitia blog hii.Watu hawalazimishwi kuingia kwenye blog yako, So wanaotaka kuhama na wahame, wala isikupe shida,kila mtu anauhuru wa kuanzisha blog so wanaopata shida kwa unacho kifanya nao waanzishe zakwao.Wapate taste ya unacho kabiliana nacho.
ReplyDeleteSalamaleko Ankal,
ReplyDeleteMimi pia nakupa pole kwa kazi kubwa unayoifanya, naamini huwa una kazi kubwa kupitia kila comment au habari unazoletewa.
Hivyo hata mimi saa nyingine unapotia kapuni comments au habari ninazoleta, hujaribu kuvaa viatu vya Ankal na kukubali kuwa sio kila kitu tukileta hapa globuni kitatoka.
Hivyo wadau tuwe wavumilivu, dunia hii huwezi kupata kila utakacho, cha kwako kikitiwa kapuni cha mdau mwenzio kinatundikwa, ndo kilimwengu.
Ila Ankal nadhani ujumbe kapata, hivyo atazidi kuiboresha Globu Ya Jamii kwa kusikiliza maoni Globu ya Jamii izidi kuwa chanzo cha habari na maoni kwa manufaa ya Jamii.
Mdau
Mkongwe
anko ni thithiem jamani.
ReplyDeleteWE ANKAL UNAZINGUA NA HILO LOPO WAZI, MI SIJAWAHI KUMINYIWA COMMENT WALA NINI SO AM GOING TO STAY MUTE ON THAT. LAKINI BWANA ANKAL WE NI KADA WA CHAMA TAWALA DHAHIR KABISAA. AFU MUOGA SANA, KWANI TUNAYOYASEMA ILIMRADI HAMNA MATUSI WE UTASHITAKIWA? SI NIMAONI YETU? MI NIMEKUPUNGUZA SANA ALAFU PUNGUZA BIRTHDAY HUMU HATA KAMA KWAKO. BESDAY ZIPELEKWE BANGO HUKO. LABDA MISIBA TUTAVUMILIA LAKINI MAMBO YA UJINGA UJINGA YANAKUSHUSHA HADHI KAMA HAUNA HABARI. KUHUSU DINI UNAJITAHIDI NADHANI. ILA CHAMA MH!!!!
ReplyDeleteAnkal tunashukuru tena sana kwa kazi nzuri na ya uhakika lakini ukweli ndo kama wengi tunavyojua huwa una bania comments nyingine na kuachia kwa haraka kama ni comment unayotaka wewe kusikia. Sasa ujue comments za watu ni lazima usikie pande zote mbili yaani kama ni negative au positive. Ndo debate pia inavyokwenda ili upate balance ya jambo lenyewe. Hongera pia kwa kutambua kuwa HUBAGUI, HUCHAGUI WA KUKUZIKA HUMJUI. BASI USIMINYE COMMENTS ZA WATU AMBAZO HAZINA MATUSI. TUNAELIMISHANA HAPA
ReplyDeleteKaka Michuzi nadhani sasa unelewa wadau wanaongela nini,
ReplyDeleteNi kweli huwa unaupondeleo fulani hata kama comment zinajenga. Niliwahi kukuuliza mara kibao kuhusu huu mjadala wa uraia wa nchio mbili mambo ya diaspora na mengine ya mrengo huo; tanzania ina sera yeyote au utaratibu au mfumo wa kuratibu mambo haya kupitia ofisi zake za ubalozi huko nje ila hukuirusha hewani maana hii kitu inaenda kama upepo tu na wananchi huko nje wanakosa mwelekeo na kuuliza mambo mengi ambayo hayana majibu...sasa hata comment kama hiyo yenye lengo la kuichangamsha serikali na jamii kuwaandalia mfumo maalum hawa wananchi kuchangia maendeleo yao nayo ukaiweka kapuni....mimi huwa sikuelewi wakati mwingine. Glob ya jamii maanayeke ni uwanja wa wananchi kutoa maoni yao, dukuduku zao ambazo zina lengo la kuleta maendeleo, kukosoa mabaya, kulimisha jamii na pia kuburudisha..ndiyo maana huwa kuna habari za-kikomedi watu wacheke.. Matusi,dharau,uchochezi nk weka kando. Hiyo ndo maana ya Globu ya Jamii. Na Globu ya Jamii siyo ya Issa Michuzi na Marafiki zake. ni ya jamiii. Wewe ni dereva tu hapo.....
Asante mzee wa fulana moja
HATA MIMI NINAHISI HUWA UNAWAOGHOPA WATU WENGINE...KWA MFANO, KWA NINI ISHU YA MR.2 NA RUGE HAUKUITOA??????...NASIKIA HUKO BONGO UKIMESS NA RUGE TU NDIYO MWISHO WAKO..I MEAN UTAFILISIKA
ReplyDeleteMichuzi hongera kwa kazi.
ReplyDeleteLakini yasemwayo yana ukweli. Hii ni blogu yako na unaamua kuminya yeyote anayemchalenji unayempigia debe. Mimi nina ushahidi sana na hili.
Hata hii pengine utaiminya.
Hilo ni tatizo lako sugu unless unasema utabadilika!
Nyinyi Mnamwita Ankal mimi ninamwita kaka alikini sote tupo katika kujenga na kuleta Umoja Mimi ni Mdau wa Nchi fulani ya Kiarabu lakini ni Mtanzania kuhusu Globu yako kaka ni nzuri sana na watu tunaifurahia sana kwani binafsi sisomi habari za udaku wala magazeti mengine nimeyasahau kabisa isipokuwa hapa kwa kaka Michuzi Funika kote.
ReplyDeleteAma kuhusu habari kaka si kila habari itolewe kuwa makini na hilo na kuhusu Comment kama mtu Lugha yake mbaya usimuweke lengo letu kuu ni kupata habari na kujifunza kupitia hizo Comment zenu sasa ikiwa umepost Comment Mfano ya matusi sio hapa mahala pake watu kama hao watafute kiwanja chengine.
tuko pamoja kaka
Kaka usijali duniani kuma mambo ambayo inabidi uyakabili.
ReplyDeleteLawama ni kutokana na kuminya cyale yenye mtizamo tofauti na unaowapigia debe kupitia blogu hii.
Hatutowi matusi wala nini sisi tunasema tu ukweli.
Sasa kama hupendi chelenji basi umaana wa blogu ya 'jamii' unakuwa haupo.
Mbona pengine anaachilia hata matusi?
kwa mfano juu ya suala la nyumba ya Gavana au kesi ya Muro uliacha watu wakawa wanaandika mpaka matusi humu na ukipenda pitia comments za watu ujikumbushe mwenyewe!
SASA ANKAL UKITAKA KUFANYA LA MAANA WEKA STORI YA RUGE TENAAAAAAAAAAAAAAAA.
ReplyDeleteNI KWELI KABISA WEWE MICHUZI UNAPENDELEA,PICHA ZA WALALA HOI HUWEKI WEWE UNAWEKA PICHA ZA WAJU WENYE MAJINA ILI UPATE CHOCHOTE KILE,NA PIA UNAPENDELEA CCM SANA..CHAMA CHA MAGAIDI..MDAU NARVIK
ReplyDeleteLISEMWALO LINA UKWELI NA MIMI NI MWADHIRIKA PIA. UMENIBANIA COMMENTS ZANGU NYINGI ZENYE POINT ZA NGUVU KWA JAMII NA KURUHUSU ZILE AMBAZO KWANGU HAZIKUWANA NA POINT ZA MAANA.
ReplyDeleteMFANO NI KUSHAURI VIONGOZI WAENDAPO KWENYE MASHAMBA YA MADIMBA YA MPUNGA KUVAA NGUO ZINAZOLINGANA NA MAZINGIRA HAYO BADALA YA KUVAA MASHATI MAREFU MEUPE NA TAI WANAINGIA MADIMBANI NA INABIDI WATANDIKIWE MIKEKA SEHEMU YA KUPITA
Kaka michu kweli unabagua nakumbuka nilianzisha blog ilikuwa inaitwa theutamuz.com ukaniambia nibadili jina nikaiita shwari.com, basi nilipobadili ukaanza visababu vyako vya ajabu ajabu, ukaacha kujibu hata emil zangu , nikajiweka sawa mwenyewe sasa hivi natapata hits 400 kwa siku mungu mkubwa.
ReplyDeleteZAMANI BLOG YAKO NILIIWEKA HOME PAGE,ULIVOANZA KUNIMINYIA COMMENT ZANGU AMBAZO NILIKUWA NAMSAWAZISHA MALAYA WA LA CALIFORNIA ALIPIGA PICTURE NA MAMA JK COMMENT ULIZIMINYA,WAKATI NILIVOKUWA NAMTUKANA DADA WA BB ULIZI APPROVE SIKUKUELEWA MANA NILIKUWA NAMTAKA SANA MALAYA WA LA.BASI ULINIUDHI NIKAKUTOA HOME PAGE.
ReplyDeletehaya na hii minya
Unjaua what I am going to do? Nafungua blog halafu nalink post zako zote kwenye hiyo au na cut and paste blog (copycat). Na kila post nasema "kwa hisani ya IssaMichuzi blog". Ili usinishike kwa mchezo wa copyright... Halafu huko naachia uhuru wa comments yeyote ile isipokua ile yenye matusi...Uone watu watakavyoielimisha jamii na watu watakavyokimbilia huko.
ReplyDeleteWee twajua wafanya kazi kwa serikali na CCM kwa hiyo huwezi kuweka mambo ya watu wakisema kitu kinachoonyesha maasi ya serikali au CCM. Sasa siye ambao hatufanyi huko ngoja tuelimishe umma vizuri.......
Coming soon a copycat of blog yako with more freedom of speech
ankal na mimi Forum yangu www.Wazalendoforums.com
ReplyDeletetumeshachoshwa na habari zako za JK sijui kafanya nini, sijui makamba kafanya nini! its nonesense; hao tulishawazaoea, hawana mpya..hata wakiwa wanapewa phd kila sekunde, hazina tija kwa taifa hili, lakini kwa vile wewe unawaabudu sana ndio maana kila saa..jk..sijui nini nini...jk.. UNATAKA KUTEULIWA UBUNGE NA JK NINI? huko ni kujipendekeza kijana!!!post the shit
ReplyDeleteAsante ankal kwa kutoa ufafanuzi. Ni imani yangu kwamba wadau wa mrengo wa kushoto wamekusoma. Blog ya jamii lazima iwe na msimamo, ili watu wasije dhani kwamba wana haki yoyote ndani ya blog hii. Wewe endeleza libeneke na ukweli ni kwamba hata wale ambao wanadai hawafungui blog yako si kweli kwani mbona hizo comments wanatuma? sasa hiyo inaonyesha kwamba bado wanasoma. Jamani binadamu tupendane na hakuna sababu ya kuchukiana. Ukiona mtu anafanya kitu kizuri basi mpongeze na ukiona mtu amekosea mkosoe lakini kistaarabu na itapendeza zaidi kwani hakuna binadamu aliyekamilika. Kumbukeni kila ukimnyooshea mwenzako kidole basi ujue kuna kidole kimoja kinakukumbusha kwamba hata wewe ujiangalie. Zaidi ya hapo ni pongezi za dhati kabisa kwako kwa kazi nzuri. Niwaombe wengine ambao hawajui power ya blog ya jamii ya technolojia hii mpya waanze kutumia. Nawatakia wanablog wote siku njema.
ReplyDeletemichuzi hongera sana kwa kazi unayofanya. baadhi yetu tumeifuraia.
ReplyDeleteIla hapa nimegungua kuwa unatafuta sympanthy toka mahala fulani.
Yaani uonekane kuwa kwa ajili ya CCM, umeumizwa! That is too cheap for you
NI KWELI UNAPENDELEA COMMENT KARIBU ZOTE HUZITOI TENA SIJAMTUKANA MTU NI MAONI TU YA KAWAIDA
ReplyDeleteNIMEGUNDUA KUWA WEWE NI MPIGA DEBE WA WATU FULANI KUANZIA LEO SINA MPANGO NA HII BLOG YAKO
NA HII ITIE KWENYE KAPU KAMA KAWAIDA YAKO LAKINI MUHIMU UJUMBE UMEKUFIKIA NIMEJARIBU KUONGELEA JINSI NCHI YETU INAONGOZWA KIFALME YANI KURITHIANA HUJATOA
HAYA NENDA VEKESHENI ZAKO ZA KUTUMIA HELA ZA CCM