Capt. Arif Jinnah


At the Africa & Middle East Regional meeting of the 65th Conference of the International Federation of Air Line Pilots (IFALPA) held in Marrakech Capt Arif Jinnah of Tanzania was re-elected as the Federation’s Regional Vice President Africa East.
Capt. Jinnah’s responsibilities include Kenya, Burundi, Djibouti, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Seychelles, Somalia, Uganda, United Republic of Tanzania and the overwater airspace of the Addis Ababa, Dar Es Salaam, Mogadishu and Nairobi FIRs. Capt. Jinnah was first elected to this role in 2008 and his new term of office runs until the 67th Conference which will be held in Paris in the spring of 2012.

Pilot’s from Kenya Airways (KALPA) and Ethiopian Airlines (ETALPA) , Air Tanzania (TPA) are all represented by Capt Arif Jinnah, in different issues and meetings worldwide.

Capt Arif Jinnah, Captain with Air Tanzania for 23 years now, is also Secretary General for Tanzania Pilot’s Association and newly formed Tanzania Pilot’s Union.

The International Federation of Air Line Pilots’ Associations represents in excess of 100,000 pilots in more than 100 countries world-wide. The mission of IFALPA is to be the global voice of airline pilots, promoting the highest level of aviation safety and security world-wide and providing services, support and representation to all of its Member Associations.

See the Federation's website:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Haya ndo mambo tunataka, sio mashindano ya kucheza sijui nini, watu kama hawa ndo wanatakiwa wawekwe hadharani ili vijana waweze kupata changamoto, sio kuwafanya kuwaza Bongo Star Search, Miss Tanzania na ujinga ujinga mwengine unaoendelea na baada tu ya kupata umaarufu kunuka wakienda muziki wanapiga picha na kuweka vidole bila hata kujua maana yake na chupa kuuubwaa ya bia na nyinyi kina michuzi mnawatoa kwenye Blog zenu, hii mnaharibu vijana sana, ila kwa hili la Capt ungetuwekea masnepu kibao mtu mzima anakata anga. Hongera sana Capt Arif Jinnah mimi nakukubali sana.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kaka, nakumbuka ulikuwa unaandika kwenye sunday news miaka ya 1987-90-na kupitia kwako nilijifunza kusurf., Hongera sana mungu akuzidishie elimu na kheri nyingi.Wanasema mtu akiwa mzuri kwenye mawasiliano(good communization skills hashidwi na kitu. wewe ni mmojawapo, mashallah.

    ReplyDelete
  3. CONGRATS!!!
    This is great news!!
    Captain Arif deserves this and he is the right person for the post having known him as a fellow Aviator for a good part of over 20years!
    Its also, surely, great news for all Tanzanians!!
    Keep it up, man!!
    Ciao!
    Storming fo Hadi
    [from Doha, Qatar]
    www.sokainbongo.com
    www.uksokainbongo.blogspot.com

    ReplyDelete
  4. Ooooh nimefurahi sana kusikia habari hii.

    Huyu Captain, alinifurahisha sana tulipotoka naye hapa Dar hadi Kampala...oooh ndege ilikuwa kwenye mikono ya uhakika kwa jinsi alivyoyakata mawingu bila mtikisiko wowote. Siku ya kurudi kupita KIA na ZNZ alikuwa ni yeye pia oooh tulipofika Dar ilinibidi nimwombe nipige naye picha...bila hiyana akanikubalia..tukapiga picha na cockpit ikionekana. Siku ile "flying was funny". Alinirudishia ndoto zangu za kuwa pilot tena!

    Hongera sana Captain.

    Bila shaka utawafundisha vijana wengi wa Kitanzania wajue kuwa wataalam kama wewe.

    ReplyDelete
  5. Hongera Kaputeni kwa kuwakilisha.
    Mdau
    Ng'apulila

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Mtanzania mwenzangu,Ila sasa serikali imekuwa na usha mba mkubwa sana kwani kutoka Nchi za Ulaya kuja nyumbani ndege ni chache sana,Je swala hili mnalifikiria.Kwani toka huku mpaka Kenya ikiwa ni 600$ basi Mpka Tanzania inakuwa 800-1000$.Nitashukuru sana endapo na Tanzania itaunganishwa katika swala zima la usafiri anga.

    ReplyDelete
  7. Big up Arif! Your efforts have proved right.

    stay blessed.

    ReplyDelete
  8. Kasule SidaMarch 24, 2010

    Conglatulations Capt. Arif.
    I know you as a hard working pilot and up to date man. This makes you to deserve the post. keep aiming at high.
    God bless you abudantly.

    Best regards,
    Kasule Sida
    kasulesida@hotmail.com

    ReplyDelete
  9. Hongera captain Arif and all the best.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  10. Naam Michuzi;
    Sasa hawa ndio wanatupa changamoto.

    Coverage ya watu kama hawa ndiyo ya kweli si akina sijui Mwamvita, sijui mchezaji wa NBA, Mshindi wa BBA na Mashaka kuitwa sijui Nabii na Rais ajaye wakati hatuoni substance yeyote ya mchango wa maana kutoka kwake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...