Mwenyekiti wa Benki ya Exim Tanzania Yogesh Manek (kushoto) akimkabidhi tuzo Meneja wa Tawi la Mount Meru, Bw. Hamad Abdallah Said, baada ya kuwa Meneja bora wa Tawi wa mwaka katika Mkutano wa wakuu wa matawi ya Benki ya Exim nchini uliofanyika Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia katikati ni Meneja wa Benki hiyo Bw. Dinesh Arora.
Mwenyekiti wa Benki ya Exim Tanzania Yogesh Manek (kushoto) akimkabidhi tuzo Meneja fedha wa Benki hiyo Bi. Lydia Kokugonza, baada ya kuibuka mfanyakazi bora wa mwaka katika Mkutano wa wakuu wa matawi ya Benki ya Exim nchini uliofanyika Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia katikati ni Meneja wa Benki hiyo Bw. Dinesh Arora.
Mkurugenzi mtenda wa Benki ya Exim Tanzania Bi. Sabetha Mwambenja (waliokaa katikati) akiwa na Viongozi wengine wa Benki hiyo, katika picha ya pamoja na Mameneja wa Matawi yaliyoshinda tuzo, katika mkutano wa mameneja wa Matawi ya Exim uliofanyika Dar es Salaam jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. MZAWA ASILIAMarch 27, 2010

    AWARDS HAVE BEEN RECEIVED FOR OFFERING SLAVERY TREATMENTS AND SACK LETTERS TO EMPLOYEES FOR MINOR MISTAKES.

    IT IS A WORST WORKPLACE IN EAST AFRICA.

    Lots need to be done to put things right in place for staff.

    Thank you.

    ReplyDelete
  2. Alow huyo meneja wa mount meru branch sio yule alawi wa barabara 10 Tanga?
    Congratulation bro,we are proud of you,na hao wengine pia wape hongera zetu

    ReplyDelete
  3. Hongera kaka Hamadi (picha ya kwanza) kwa kuwa meneja wa bank. Nakumbuka tulisoma wote Tanga O'level. Hongera sana kwa hatua nzuri!
    Amelda

    ReplyDelete
  4. Mdau mzawa asilia nakubaliana na wewe kuwa exim ni sehemu ambayo inanyanyasa sana wafanyakazi wake but nadhani si haki kuiita the worst place kila mahali kuna matatizo yake. Lamsingi either uvumilie au uwafikishie ujumbe kama ubavu unao kama huna kuwa kama wenzio hapo benki.

    Alawi hongera sana sheikh wangu ni mafanikio makubwa sana big up mzee tuko pamoja

    ReplyDelete
  5. Nisalimie Kitundu, Eugene, na Wengineo big up wazee

    ReplyDelete
  6. Mzawa Asilia, mimi naijua banking sekta kwa miaka 20 sasa. Lazima tujirekibishe. Wizi unaofanywa na wafanyakazi wa mabenki Tanzania unatisha!!! Often times emloyees are sacked not because of so-called "minor mistakes" but because of inside white-collar theft (wizi wa kalamu). That is why even cheque cashing procedures in Tanzania are different from other Africa countries (you have to register in advance potential payees, etc). Even when there is glaring evidence, prosecution of alleged culprits can take years. Although I too am 100% mzawa asilia i will not use racial sentiments to defend rampant theft in financial (and other)institutions in our country. Even the billions which are believed to have been siphoned from BOT have been "eaten" by our own brothers and sisters. Depositors have to be protected from wayward bankers. Labda utupashe ulikuwa benki gani na ulipewa the sack kwa sababu gani!!!!!!!!!!Mdau wa benki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...