Daktari bingwa kutoka India, Mustafa Parekh, akimfanyia operesheni ya macho mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika kituo cha afya cha Burhan, jijini Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Madaktari wetu walio nje ya nchi wangekuwa wanatoa huduma kwa wanchi mara mojamoja wakiwa likizo ili tugeuze BRAIN DRAIN kuwa BRAIN CIRCULATION.

    Ni jukumu la serikali kuwahamasisha tusitake Remittances tu hata huduma za kitalaam zina thamani kubwa kwa nchi.
    Wanaweza pia kutoa huduma kwa njia ya Telemedicine ili mradi nyenzo ziwepo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...