For more Videos visit MichuziBlog Channel

CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. kwakweli bongo walichemsha kipindi wamempa huyu mwanamke kuwa miss tanzania kwa kkweli yani ni muhindi kabisaaaaaa tz kwa kujikomba yani niliuzikaga kweli yani sio siri loh mpaka naondoka nikawa sifatilii tena mambo ya mamiss nilikuwa mfatiliaji mkubwa kujua kila mwaka nani miss tz lakini tangu awe huyu sijui alivyotoka yeye alimpa nani!loh tzkwa kuwafagilia wahindi loh ushuzi mtupu!!!!!pua ndefu......

    ReplyDelete
  2. WIZI MTUPU: Hao washindani wengine wako wapi? Iweje MC ndo atawale jukwaa na kumvisha taji? HAYA NDO NYERERE ALIITA "MANKANYANGE".

    ReplyDelete
  3. wathamini wenyewe wahindi sasa mnatengemea nini!!! nyie tulieni tu mchangulie !!!hawa wa hindi kwao india wana ubaguzi sana nashanga bongo tunawaona kama mungu !!
    usibane hii kama ni mtazamo tu

    ReplyDelete
  4. Miss Tanzania India maanake nini? Mtanzania mwenye asili ya kihindi? ama mtanzania nayeishi India? Na kama ni mtanzania mwenye asili ya kihindi...Basi Samsung hawana budi kuanzisha Miss Tanzania Arab, Miss Tanzania Mdengereko, Miss Tanzania Fat, Miss Tanzania Black n.k Au nimekosea wadau...maanake ukianza na tabaka moja, matabaka mengine je?

    ReplyDelete
  5. Mbona tunashidwa kuelewa haya ni mashindano ya Umiss au katunukiwa kuwa Miss India Tz? Km mashindano wako wapi hao wengine wanaoshindana. Bora mwengesema tu ameteuliwa kuwakilisha Tz India.
    Musituchanganye

    ReplyDelete
  6. tz needs a wakeup call.

    ReplyDelete
  7. Tanzania wahindi wanakula bata tu lakini wabongo tukienda India tunapigwa...tunaonewa na hata kuuwawa.Jamani watanzania lazima tuamke lasivyo mtaona hata raisi wa kihindi.Iddi amin cha maana alichifanya ni kuwapiga kibooti,warudi kwao.

    ReplyDelete
  8. Hahahahah yaani Tanzania tumeishiwa saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana manake warembo wakitanzania wamejaa tele mnaenda kutuletea wahindi heti ni miss tanzania je ndugu zetu wa kiswahili wazaliwe india wakulie india je watakubuliwa kua miss india?lazima muamke sio ubaguzi wala nini tanzania ni ngozi nyeusi lazima tujivunie nchi yetu sio kuitangaza nchi ya wenzetu kwani mimi najua kama sababu ni lugha basi ma miss wanaoshiriki sio lazima wajue kiingereza wanaweza kuwekewa wakalimani kwani hamuoni nchi za wenzetu wanajivunia lugha zao wanaulizwa maswali kwa lugha zao na wanajibu kwa lugha zao, wasichana warembo sana tunao tanzania lakini tatizo haki hazitumiki ndio maana watu wanashindwa kujitokeza, na mambo yakiwa hivyo hatutashinda miss world hata mara moja tuamke jamani tutakuwa nyuma mpaka lini? asanteni yangu ni hayo amkeni acheni upendeleo majaji wetu tafuteni mrembo wa kitanzania asili sio wa kuhamia.

    ReplyDelete
  9. amkeni hata haya hatuna mbona washiriki wenzake hatuwaoni je alishindana na nani jamani heeee hii kali.

    ReplyDelete
  10. KWELI WATANZANIA TUMEPINDA......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...