Home
Unlabelled
mdau richard kasesela ala nondozzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nampongeza sana brother kwa kupata nondozzzz.
ReplyDeleteIla kwa nijuavyo mimi, hiyo inaitwa SHAHADA YA UZAMILI na sio STASHAHADA YA UZAMILI
YES Brother, Big up! Hongera sana kaka mpendwa jirani yangu( kwenye transforma) keep it up.
ReplyDeleteInfwakt brother aliula sana alitunukiwa hiyo ya Diplomacy economy na nyingine ya international relations kwa heshima na zote ziko documented. Hongera kaka Rich Mh. Mtarajiwa tunataka watu kama wewe Bungeni sio ma fraud... Sala zangu ziko pamoja nawe kaka ila kama wakitubania jimbo; tufanye mazoezi kusubiria 2015 tumuwache mzee wa watu amalize ka ngwe kake vema. Cheers
ReplyDeleteHivi wadau ,
ReplyDeleteHebu niambieni hicho chuo cha diplomasia na mambo ya nje ni chuo gani karne hii, hakini website au
email?
Ni elimu gani wanayotoa na kweli wanaohusika wanaona kweli wanaenda na wakati?
Hii ndio maana hata viongozi wetu wa diplomasia, watashindwa kutuletea maendeleo nchini mwetu?
Mdau,
Norway
mdau wa kwanza,tafakari kabla ya kuvamia hoja,aliyetoa hoja yuko sahihi kwa kusema stashahada ya uzamili au post graduate diploma,unachokiongea wewe ni kitu kingine kabisa yaani masters" au shahada ya uzamili...pole.
ReplyDeletehongera mkuu,ila mimi ni huyo mke wako tuu,duh ni mzuri unanikumbusha mbali bwana maana huku ni uchovu tu baada ya kubeba box bwana...
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteHiyo ni stashahada(diploma) hawa jamaa hawajawa na uwezo wa kutoa shahada(digrii)..Halafu kaka Michuzi unajua hiki chuo mimi sikielewi..maana wana waalimu duni sana, na hata hiyo inayoitwa diplomasia ya uchumi hapo ni siasa tuu. sasa wanasiasa watafundishaje diplomaisa ya uchumi. Sidhani kama Wizara ya Mambo ya Nje inajua nini maana hasa ya "diplomasia ya uchumi"..Hizo fani zinazoitwa Dioplomasia ya uchumi nimegundua ni fix fulani..wanafunzi wanazikimbilia ikiwa si kwa ajili ya kupata elimu bali kwa ajili ya kutafuta "short-cut" kwenda kufanya kazi mambo ya Nje na kisha kwenda kwenye baliozi mbali mbali...Frankly speaking kaka Michuzi chunguza kwa undani hicho chuo ikiwa ni pamoja na capacity yake na pia ichunguze hiyo Wizara ambayo inamiliki hicho chuo kisha utanioambia niliyoandika hapa...Wizara haina hata mtandao wa Internet sasa ndo itaweza kuendeleza hiyo diplomasia ya uchumi iliyo kwenye makaratasi.."wataalamu wa hiyo fani ni wachache sana hapo chuoni na Wizarani ukilinganisha na mahitaji halisi...
""Ankali nakupa homework ufanyie kazi hii habari''...Wanafunzi wanajiunga hapo kwa ajili ya short cut tuuu...hakuna jipya
hongera saaana richard kwa kula nondozzz
ReplyDelete