Mlinzi wa pembeni wa timu ya Free Media, Martin Malera (shoto) akimtoka mchezaji wa Mwananchi wakati wa mchezo wa robo fainali ya kombe la NSSF uliofanyika kwenye Uwanja wa TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam, leo.
hiki ndicho kikosi kamabe cha kapuni ya Free Media (wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima) kinachoshiriki michuano ya kombe la NSSF kikiwa na 'Maximo' wao na mhariri mkuu Absalom Kibanda aliyechuchuma mbele shoto. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MALERA UTAVUNJA AKO KAMGUU, ANGALIA ULIVYOUPINDA BABU

    ReplyDelete
  2. Mbona huyu mlinzi hana uwiano mzuri kati ya mguu na mwili wake? Sasa si hatari hii miguu inaweza kulemewa na kukatika! Nina uhakika hata huo mpira aliukosa.......

    ReplyDelete
  3. HAWEZİ KUVUNJA JAMANİ..NAMWAMİNİ KWA HİLO......İLA SASA NAONA AMEPUNGUA...MAZOEZI YAMEPUNGUZA KITAMBI....MSALIMIE WINNIE
    GO ON MARTIN...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...