
TIMU NZIMA YA GLOBU YA JAMII INATOA SHUKRANI ZA UNYENYEKEVU KWA WADAU WOTE KWA KULIENDELEZA LIBENEKE HADI KUFIKIA HAPA. BILA WEWE MDAU HII ISINGEWEZEKANA HIVYO HATA KAMA UTAKOSA ZE FULANAZZZZ KWA KUWA NJE YA WADAU 100 WA KWANZA BAADA YA KUGOTA WA MILIONI 8, JISIKIE KWAMBA HIZI SHUKRANI ZINAKUHUSU WEWE PIA!
ANGALIZO: NI WALE WADAU WATAKAOKUWA NDANI YA MDAU WA MILIONI 8 NDIO WATAONUFAIKA NA HILI. IKISHAPITA 8,000, 100 UJUE BAHATI SI YAKO. ANGALIA KWA MAKINI TARAKIMU ZA MAHESABU CHINI KULIA KWENYE GLOBU HII YA JAMII. ZAWADI ZITATUMWA WIKI MOJA KUANZIA LEO, NA SI VIBAYA UKIUJULISHA UMMA KWAMBA UMEPATA ZAWADI YAKO KWA KUTULETEA TASWIRA UKIWA UMAVAA AMA HATA KWA KUIONESHA TU BILA SURA YAKO KUONEKANA. YOTE SAWA...
ASANTE SANA MDAU KWA KUWA NASI, MOLA AKUJAALIE
-MICHUZI
Nshachelewa naona. Tayari imeshagonga 8,001,057. Hongera!!! Libeneke 1 daima!
ReplyDeletemhh anko mbona kiini ,ni wa 8001400 iabidi nipate upendelea maalum
ReplyDeleteidumu libeneke
nimekosa T-shirt jamaniiii.. anyways next time nitajitahidi nipate ze fulanaz, anko fanya na vitambaa hata vya ichwani basi.
ReplyDeleteTuko Pamoja, Mama A