Ankal,
Napenda kuweka hii link inahusu wizi wa magari ya kifahari yanayotoka huku U.K na kuletwa Tanzania,hii documentary imerekodiwa bandari ya U.K na Dar es salaam, na imerushwa hewani na BBC jana usiku hapa U.K.
Serious crime.
watch it here through BBC i-player.
http://www.bbc.co.uk/programmes/b00qsv4b
Angalizo: Programu hii huenda isiweze
kucheza kwenye baadhi ya nchi kama Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. hata americano...hiyo kaa nayo uko kwenu uk

    ReplyDelete
  2. sasa kwanini umelileta bongo km unajua halitaweza onekana bongo???

    watu wengine bwana?

    ReplyDelete
  3. yote nikutafuta bahati mbaya imemkuta dogo

    ReplyDelete
  4. Kwa anayeiona tafadhali tumia Real Download kui download then iweke You Tube tutaweza kuiona.

    ReplyDelete
  5. Unajua watanzania wana tamaa sana. Mtu anataka kuishi maisha ya kitajiri lakini uwezo hana. Vilevile watu wengine wanataka magari ya ghali lakini bei rahisi sasa matokeo yake ndio hayo. tukomage jamani bora uende kwa dealer wa magari ununue gari kuliko kuliokota njiani kimezengwe zengwe mwisho wa siku unalia safi sana tukomage jamani!!!

    ReplyDelete
  6. Du Dokta Malalasuka Mponjoli akimaliza miaka 3 ya jela, alipe paundi 800,000 au aongezewe miaka 4!

    Video hii ktk BBCiplayer inacheza bila wasiwasi wowote, shukrani kwa mdau na globu ya jamii kutuelewesha yanayoendelea ulimwenguni.

    Mdau
    Njagu

    ReplyDelete
  7. Kwani mtu akitafuta pesa kihalali kuna nini? Yaani mimi sielewi kabisa. Viongozi wanaiba, wananchi wanaiba, wanaosema naenda kusoma nikirudi nitabadilisha nchi nao wakirudi wanaiba...na tunalalamika kuwa hatuna maendeleo.

    ReplyDelete
  8. video inaonekana UK tu sasa si ungeiweka kwenye blog zenu za kijinga za huko huko.
    Haionekani outside UK

    ReplyDelete
  9. Dont get me wrong
    I dont condone theft or law breaking of any kind and in any form
    BUT the rich people are getting richer and avoid paying taxes and the poor people are getting poorer na wanazidi kila siku kunyolewa na masikini wenzao, matajiri na serikali
    Unakumbuka hadithi ya Abu Nuwas ya yule masikini aliyekaa karibu ya nyumba ya tajiri ile apate harufu tu ya mnuso wa pilau, akapigwa teke na korokoroni wa yule tajiri
    Basi nyie matajiri aulawu tuwacheni tunuse tu ule utajiri wa nchi
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  10. Kutoka kwenye hii video, jamaa alikuwa anayaiba kilaini kweli. Wamemchana live, noma. Kuna uwezekano sasa bongo ukiwa na gari ya kifahari ukaonekana umeiba. Bora ninunue baiskeli.. tehe tehe tehe

    ReplyDelete
  11. WAOSHA VINYWA BWANA,NA WACHANGIAJI HAPA WOTE NI WALA VUMBI LA AFRICA HAWAJUI NINI KINAENDELEA,HII NI BLOG HAIELIMISHI WATU WALIOKO TANZANIA PEKEE JAMANI HATA WA NJE JAMAA KATOA HIYO ILI WATAKAO WEZA WAANGALIE NA WAJIFUNZE KITU MIJITU ISIYOFUNZWA INAANZA KUMCHANA.UJINGA MTUPU.

    ReplyDelete
  12. TUNAOMBA MTU AIDOWNLOAD HIYO VIDEO NA AIWEKE YOUTUBE PLEASE. WADAU WA UK.....

    ReplyDelete
  13. Mponjoli duuuuu pole, Kweli hawa watu wamekuanika vibaya sana. Huu utajiri wa haraka haraka ni wengi sana wanautafuta ila inasikitisha kuona vijana wanajiingiza kwenye mambo kama haya nchi za watu. Miaka 3 Jela na either Pound 830,000 au miaka 4 mingine ya nyongeza. Pole kaka wanasema ajali kazini.

    ReplyDelete
  14. DAH JAMA ALINIACHA HOI USIKU MANA SIKUTEGEMEA KUMUONA MBONGO NILIJUWA MCHEZO WAMAPOPO LAKINI HUYU JAMA NADHANI ATAKUWA ANADAMU YA KIPOPO......HAHAHAHA

    ReplyDelete
  15. Mdau tafadhali toa maelezo zaidi juu ya kudownload. maana si wote wataalam wa mitandao na computer.

    ReplyDelete
  16. Inaskitisha kuwa mambo mengi yanayohusishwa na nchi yetu ni negative, ni wakati muafaka kubadili tabia zetu kama jamii ya watanzania na kujisafishia jina letu mbele ya macho ulimwenguni, nchi yetu ina mengi mema ila tunashindwa ku-exploit hayo mema tuliyobarikiwa.Sisi siyo nchi ya wezi na matapeli!!Jamani tuamkeni, tunashindwa hata na majirani zetu.

    ReplyDelete
  17. wewe mchangia mada hapo juu unabwabwaja naona wala hujaelewa maana ya hii video,kwanza ni kuelemisha mjue magari ya wizi pili mtanzania mwenzetu yule ambaye ananyea jela huku u.k japo ulaya hamna kunyea ndani ni kama napumzika tuu na matatizo ya dunia,wamempunuzia stress ulaya raha tu jela si kama Keko huko

    ReplyDelete
  18. A Kenyan woman has appeared before a London court charged with money laundering.

    Ms Ruth Ayinde-Azeez, 26, appeared before the Southwark Crown Court in Central London on Thursday accused of laundering £6 million (Sh690 million) from a mortgage scam.


    She was charged with acquisition, possession or use of criminal proceeds under The Proceeds of Crime Act 2002.

    She faces further charges for assisting another person to retain the benefit of crime.

    During the hearing before judge Martin Beddoe, the court was told of how the former care worker funded her luxurious lifestyle with the proceeds of crime by helping her husband launder the profits of a £6 million mortgage scam.

    She is said to have lived in a six-bedroom house with 12 plasma television sets and drove a Bentley and Land Rover.

    She took holidays in Dubai and the south of France, kept £1.6 million (Sh184 million) in her bank accounts and blew huge sums at expensive bars, the court heard.

    Her husband Victor, who has fled Britain, led a mortgage fraud gang which plundered nearly £6 million from London high street banks in six weeks.

    He bought 22 houses around South-East London and, with his accomplices, applied for mortgages from the banks, including Bradford and Bingley and Abbey National. Ms Ayinde-Azeez was arrested before she was about to leave the country.
    source:
    www.nation.co.ke 14/march/2010

    ReplyDelete
  19. Kwa wale wasioweza kuangalia video hapa kuna story ya jamaa: http://www.sundaymercury.net/news/crime-news/2009/04/05/walsall-man-took-part-in-gone-in-60-seconds-style-car-fraud-66331-23313994/3/

    iPlayer videos huwezi kudownload na real player wala firefox, bbc wako makini na copyrights... Labda m2 ajaribu software za maana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...