hii ni mojawapo ya vivutio katika maonesho ya wiki ya maji huko kibaha mwendapole mkoa wa pwani kama alivyoshuhudia mdau bashir nkoromo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kiswahili cha bongo matatizo sana "PAKUA CHOO NA KARO" kwani chakula hicho, kwa nini wasiandike safisha choo na karo.

    ReplyDelete
  2. ni wakati mwingine wa kuwapongeza wote waliohusika katika mawazo na uundaji wa mashine hii muhimu,ambayo itasaidia kulinda mazingira.mdau hapo juu kwa ni lazima uwe mlalamishi wakati wote,wewe kweli ni mzalendo unaopenda maendeleo ya nchi?kama ni hivyo pamoja tutafanikiwa utengano ni udhaifu. mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...