Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Alex Kaaya akimuonyesha Dawa mbalimbali zinazotumika kusafisha maji kabla ya kusafiriswa na kumfikia mtumiaji wakati wa kilele cha wiki ya maji iliyomalizika leo katika kijiji cha Mwendapole Kibaha Mkoani Pwani. Shoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Haajat Amina Said Mrisho. Picha na Mwanakombo Jumaa wa Idara ya Habari Maelezo
Home
Unlabelled
wiki ya maji yafikia kilele leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Akimuonesha NANI???
ReplyDeleteBwana Michuzi hayo maelezo katika picha hii hayajitoshelezi...Alex Kaaya akimuonyesha nani?..halafu siyo shoto ni kushoto kwa...ni...tujaribu kuandika maelezo sahihi kwa mtiririko maalumu...hizo dawa ni maonyesho tu au? mbona tunaoga tope ndugu zangu,au hizo tope zinaiingia maji yakiwa yanasafiri toka katika visima kuja majumbani kwetu?
ReplyDeleteMmmh, mbona maji masafi hatupati? au mie sielewi? ni kiwango kipi kinatumika?
ReplyDelete