Yajue Majina Ya Ukoo Katika
Makabila Mbalimbali Tanzania
Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo yaliyo Common?
Ngoja nijaribu kufungua Dimba:
Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo yaliyo Common?
Ngoja nijaribu kufungua Dimba:
1. Wachagga
Massawe
Mushi
Mosha
Temu
Mtei
Kimaro
Kimario
Mosha
Marealle wachagga.
Tairo
Mremi
Moshiro
Mlingi
Masashua
Kinabo
Laswai
Swai
Lamtana
Bongole
Mrema
Mrina
Ndesamruro
Ndekise
Chuwa
Minde
Kinyaiya
Njau
Shoo
Nkya
Mtei
Sawaya
Minja
Mengi
Mbatia
Kimambo
Msami
Ndakidemi
Ndemasi
Ndeshillo
Urio
Mrosso
Uria
Urassa
Shio
Silayo
Temba
Lyamuya
Makundi
uisso
Wapare
Maghembe
Mshana
Mgonja
Mchome
Massawe
Mushi
Mosha
Temu
Mtei
Kimaro
Kimario
Mosha
Marealle wachagga.
Tairo
Mremi
Moshiro
Mlingi
Masashua
Kinabo
Laswai
Swai
Lamtana
Bongole
Mrema
Mrina
Ndesamruro
Ndekise
Chuwa
Minde
Kinyaiya
Njau
Shoo
Nkya
Mtei
Sawaya
Minja
Mengi
Mbatia
Kimambo
Msami
Ndakidemi
Ndemasi
Ndeshillo
Urio
Mrosso
Uria
Urassa
Shio
Silayo
Temba
Lyamuya
Makundi
uisso
Wapare
Maghembe
Mshana
Mgonja
Mchome
Ndanshau
Ainde
Tafadhali endeleza . . .
Tafadhali endeleza . . .
2. Wahaya:
Rugaimukamu
Rutakyamirwa
Rutabanzibwa
Rugaimukamu
Rutakyamirwa
Rutabanzibwa
Rweikiza
Rugarabamu
Tafadhali Endeleza
Tafadhali Endeleza
3. Wanyakyusa
Tuntufye
Mwakyusa
Mwakalebela
Ntitu
Mwakosya
Tuntufye
Mwakyusa
Mwakalebela
Ntitu
Mwakosya
Anyosisye
Mwakatwila
Tafadhali endeleza
Tafadhali endeleza
4. Wangoni (Mdau kawakilisha)
soko
moyo
nguruwe
mbuzi
fusi
nyoni
tembo
njovu
Endeleza tafadhali . . .
soko
moyo
nguruwe
mbuzi
fusi
nyoni
tembo
njovu
Endeleza tafadhali . . .
5. Wajaluo
Otieno
Onditi
Ojuang
Otieno
Onditi
Ojuang
6. Wakurya
Chacha
Mwita
Marwa
Matiku
7. Wasambaa
Semhando
Shelukindo
Kihiyo
Update 1:
8. Wasukuma...
Mabula
Masanja
Magembe
Masunga
Chacha
Mwita
Marwa
Matiku
7. Wasambaa
Semhando
Shelukindo
Kihiyo
Update 1:
8. Wasukuma...
Mabula
Masanja
Magembe
Masunga
8. Wafipa
nkoswe
mpambwe
khamsini
mwanakatwe
nswima
mzindakaya
simbakavu
Endeleza tafadhali...
nkoswe
mpambwe
khamsini
mwanakatwe
nswima
mzindakaya
simbakavu
Endeleza tafadhali...
9. Wanyasa
komba
ndomba
nchimbi
ndunguru
kumburu
nkondola
kanjolonga
komba
ndomba
nchimbi
ndunguru
kumburu
nkondola
kanjolonga
Komba
Endeleza...
10: Wazaramo
Havijawa
Ukiwaona
Mwadawa
Mwandani
Hapendeki
Mkegani
Mtukwao
Mlaleo
Shida
Taabu
Dhiki
Endeleza tafadhali....
Tafadhali naomba tusaidiane kutaja majina mbalimbali ya Ukoo kwa kila Kabila na vile vile tuendeleze listi hii hadi yafike makabila 126
Kwanza Wajaluo si kabila la TAnzania ni Kenya inaonesha hujui kitu. Wazaramo mengine ni MWanaada,Ahmada,mwanahamisi,kidawa,Kipanya,Chausiku,Mangara,Maisha, ila SHIDA na TAABU si majina ya kizaramo mie Mzaramo najuwa hilo Ni majina ya Lindi.
ReplyDeleteKIKWETE PIA NI JINA LA KIZARAMO BABA YAKE ALITOKEA SEHEMU ZINAITWA KIKWETE.
yaliobaki umepatia na Majina ya mapacha ya KULWA NA DOTTO YAMETOKA UZARAMUNI NA MAJINA YA MWALIMU. Ukiona Neno MWANA maanayake mtoto ni majina ya KIzaramo MWananyamala maana yake Nyamaza Mtoto. Pazi.
hapo wasukuma kuna Dotto.
ReplyDeletena kabila la Waluguru kuna:
Mkude
Mkoba
HAHAHA WAZARAMO SIZANI KAMA KUNA SHIDA NA TABU AU HAPENDEKI KIDOGO SABABU NAWAJUWA ILA KUNA AMBAYO KIPANYA NA MASHAVU MWANAHAMISI. MRISHO. WACHAGA SIJAONA NDOSI NA MAMA PRISCA LOL!.
ReplyDeleteWAMAKONDE KUNA NJOMBA KUNA KAKALAO.
inaleta furaha gani kumtambua mtu kwa kabila? mi naona ingekuwa vyema kupromoti kusahau uasili na ukabila katika majina badala ya kufundisha watu kama ivo, eti ukiona ni mawesa basi uyu ni wa kuree kwa mzee wa inji hii, au ukisikia tumbili basi ni wa kule kwa nkosi. ni ayo tu.
ReplyDeleteMdau, ALGERIE
WAZIGUA MMEWASAHAU KUNA;
ReplyDeleteMHANDO
MHINA
GUMBO
CHABAI
NKONDOKAYA
LUGENDO
MKOMBOZIMBULINYIGI
KIHULA
NKANYEMKA
MAHIZA NK
Hizi ni zama za teknohama na siyo zama za ujima;acha tujaribu kutumia wakati wetu ifaavyo.
ReplyDeleteJe wajua kuwa wajapani wamegundua jozi ya miwani yenye mitambo ya kufanya tafsiri za lugha bila kutegemea msaada wa wakalimani?Je wajua kuwa wajapani wanakamilisha utengenezaji wa kambarau yenye kasi ya kilomita 64 kwa saa kutokana na majengo yanayojengwa sasa duniani kuwa na urefu wa zaidi ya mita 500 kwenda juu?
WAZIGUA NAO:
ReplyDeleteMHANDO
MHINA
GUMBO
MAHIZA
KIHULA
MBULINYINGI
MBELWA
MBEZI
NKANYEMKA
MOKIWA
wazaramo kuna ndala ndefu, c**pi mkononi , chipsi yai , asha ngedere etc
ReplyDeleteaisee we mzaramo hapo juu alikwambia majina ya lindi ni tabu ba shida nani? We acha hizo ndugu,List ni hii Makota,
ReplyDeletechikawe,Lilungulu,Majogo,Nnunduma,Membe,Ng'itu,Chialo,Hokororo,Mwambe,Chinguwile,Magani.And so on.
wachaga kuna Mrema
ReplyDeleteMuzee inabidi uende makumbosho pale utapata mengi sana hasa ya Wazaramo manake umechemsha hata moja hujapatia. Hayo ni Majina ya Watoto wa kike na sio majina ya Ukoo.
ReplyDelete1. Kwa wachaga ongeza Mmasi, Lyimo, Asenga, Assey, Munuo,Mboro, Nkya, Uiso, Wiso, Kawiche, Kawishe, Shio,Shayo, Shao,Mmbando,Malisa, Kisanga, Mafue,Shoo,Mmari,Macha,Chuwa, Ngowi,Ritte,Kimati,Mboya,Nguma,
ReplyDeleteTairo,Mamiro,Lyaruu,Kessy,Mrema, Urasa,Msoka,Nyange Chani n.k.
2. Wahaya ongeza Rugambwa, Mushumbusi,Kakwezi,Mutakamulenga,Mutawabwa,Mutaboyerwa,Rugaiganisa,Tibaigana,Tibasana,Kaishozi,Mgengelezi,Mganyizi,Mwombeki,Mulokozi,Ruchaki,Kamala,Kagasheki,Mutabwabwa,Bishanga,Rwenza,Muchunguzi,Lwamayanga,Mganyizi,Rwechungura,Rwehangira,Rwegasira n.k.
3. Kwa wanyakyusa ongeza Mwakatundu,Mwakareli, mwakatobe, Mwakalobo,Mwasalimba,Mwaiselage,Mwabulambo,Mwandosya,Mwakiteleko,Mwasambiga,Mwaipaja,Anyangisye,Mtafya,Mwaijage,Mwapilinda,Mwangomango,Mwaikenda endeleeni kwingine naishia hapa kwa kuwa wajukuu zangu wapare hawapo kwenye mchakato huu ADIOS.
WASUKUMA:
ReplyDeleteMasunga, Masuke, Maduhu, Mabula, Sayi, Nhandi, Mitanda, Kubagwa, Kulwa, Doto, Kija, Mhoja, Makigo, Mabele, Mahangija, Matondo: Endelea
hayo ya wazaramo mengi si majina ya koo za kizaramo.koo kiufupi ni kama chambuso,kisengeni,ng'onde,pazi,mnyamani,bane,muhanga,ukiwaona,yaga, n.k
ReplyDeleteWADAU MMESAHAU WABONDEI KUNA
ReplyDeleteNGODA
MDACHI
SEKIBAJA
MWAIMU
MAKAME
SEVUA
MGAYA
ENZI
ADADI
Kwa kusaidia uelewa hakuna kabila la kichagga duniani ila kuna wakibosho,wamachame,wamarangu,n.k.kwakati ujao jaribu kuuliza swali sahihi,ili upate majibu sahihi,swali lako lina utata,usitegemee kupata majibu sahihi.nawasilisha hoja
ReplyDeleteWairaqw:- MANDA,SULE,ILAKWAKHI,BALOHHO,TSKHARA,HAYQYMO,HAYSUKUMS,HAY-ETHLAWI,HAYBAGHARI.
ReplyDeleteKWA NYONGEZA MAJINA YA KAWAIDA
WANAUME:- SLAA,QORRO,AKONAAY,HILONGA,BANGA,AKO,SURUMBU,
MADEMU WA KIKE:_NIIMA,AWAKI,DAATI,NADA,LANTA
Whats the point, what are u trying to archive.
ReplyDeletechagga ongeaza MANDARI, TEMU, MROSO,KILEO,MLAY,MOSHI,MOSHA,MUSHI,MANDARA,MAWALLA,MAKUPA,ORAUYA,URIO,ORIYO,LEMA,SAMBEKE,KEENJA,KAAYA,SARUMA,MMBANDO,TARIMO,SELENGIA,MREMA,KIMARO,KIMARIO,KAWA,
ReplyDeleteWANYAMWEZI.
ReplyDeleteMirambo, Fundikira, Mwinamila, Kahumbi, Seleli, Kalonga, Waluya, Katalambula, Maganga, Ntenya, Masala, Kulangwa, Kasela, Kapalata, Ntimizi, Ngeleza, Nkolokosha, Nshimba, Makono, Mapalala, Malugu, Mayala, Nzuki, Ndegeulaya, Kambaulaya, Simbakalia, Lupeja, Masanilo,
kwa upande wa wazaramo nakuomba ufute yote maana hakuna hata moja ni jina la ukoo bali ni majina ya kawaida ya kizaramo. yafuatayo ni majina ya kizaramo ya ukoo: Pazi, mkaramo,mwinyimbegu,mwinyigumba,mwinyi,wakuti,digalu,mshindo,kibasila,dilunga,zoro,mazongela,mwaruka,mlawa
ReplyDeleteNaendeleza na kabila la WAHA
ReplyDeleteKALIMANZILA
NTABHARIBA
MUZIGAMA
BHUHURURA
MAGURU_GU_TIMBA
MUSIBWA
NSANZUGWANKO
NZIGIRO
KALIKUMUTIMA
NSENGIYUMVA
KAYANDABHILA
GASOGOTA
NDAYANSE
NDIZEYE
MBWILIZA
NZEYIMANA
NIYIIBHONA
MBONIMPA n.k, n.k
Majina ya WAMANYEMA
KABWARI
FERUZI
KASONGO
HANZURUNI
KABWE
KASABA
MSABAHA n.k, n.k
mimi naongeza wabondei,
ReplyDeletesemtawa, semagogwe, semainda, sempindu, kihampa, sembwebwezo, sekashiha, makipengo,mkomeni, nkahi, mainda, semtumbi, hangi. n.k
wasambaa kidogo,
sekuba, shakashiha,shehoza, shelukindo.
mbondei halisi
Mi niwataje baadhi ya WAHEHE halafu haya majina kwa wanawake unatanguliza SE na kwa wanaume unaaza na MWA mfano MWAMUYINGA na SEMUYINGA
ReplyDelete1.MUYINGA
2.MKWAWINYIKA
3.MUYEZI
4.MLAWA
5.MKWAWA
6.MVEYANGE
7.MHANGA
8.MWILAFWA
9.MYOVELA
10.MPOGOLE
11.MGONAZI
12.MTAGE
13.MSIGULA
14.MTONO
15.MWANUKE
16.KIWONE
17.MPALANZI
18.MBWELWA
19.FIYOVELE
20.KIWONDE
21.MATATALA
22.KISOMA
23.KITOSI
24.KIHAGA
25.KILOVELE
26.KILOWOKO
27.KILIMWIKO
28.KIBUGA
29.MWIHAVA
30.NGARALEKUMTWA
31.NGAGA
32.NDENGA
32.LUKOSI
33.KALOLO
34.MWAZALILA
35.MSUMANGE
36.MFILINGE
37.NGATA
38.MBOSA
39.FIYOVELE
40.NYINGE
41.KIWELE
42.KIWELO
43.MNYAWAMI
44.MSILU
45.CHOTA
46.CHALAMILA
47.MAKONGWA
48.MDUGALA
49.CHANG'A
50.KUZUGALA
51.KIHAVA
52.ULIMWA
53.MAHADISA
54.MWILONGO
55.MAHALI
Nimechoka baadaye ni mengi sana tuendelee kuchangia
nadhani una utani na wangoni,katika majina yote sijawahi sikia nguruwe
ReplyDeleteWAGOGO;
ReplyDeleteNDAIGA
MATONYA
MAZENGO
NDAHANI
CHING'OLE
MWALUKO
KWA WAZARAMO USISAHAU KUONGEZA KATUNDU
ReplyDeleteWatu mbona mnatekwa tekwa kirahisi what's the logic of all this shit!?
ReplyDeleteNingemuona wa maana sana kama angetuomba tutaje majina ya watu kutoka wilaya mbali mbali za Tanzania.
Majina ya makabila?? where are you taking us??
You seem to be winning anyway, so what's the next move.
Majina ya Warangi.
ReplyDelete1. Lubuva
2. Lukuvi
3. Ngulo
4. Sariko
5. Kidindi
6. Nyundo
7. Katanga
8. Muhita
9. Muhaji
10. Ninga
inaelekea kwanza hujui unachokifanya umechangany maina na makabil tofauti kama ndanshau si wapare ni wachaga wa machame, kama huna uhakika tadhali usiharibu moody za watu
ReplyDeleteAnony Tarehe Sat Mar 20, 05:37:00 PM, umeua kwa waluguru.
ReplyDeleteUnawajua akina Ng'ole nk ila umechanganya na wengine wazungu nk
Safi sana home boy
WAZARAMU
ReplyDelete1.HAVINTISHI
2.SIKUJUA
3.SIJAONA
4.SIWAZIRI
5.SIJALI
6.MTUGANI
7.MWANSHAMBA
wakinga wa makete wao kabila zima kuna majina manne tu wakiongozwa na moja ambalo ni nusu ya wote
ReplyDelete1.SANGA
2.MBWILO
3.MAHENGE
4.KYANDO
BROTHER MICHUZI HII NI MAADA NZURI SANA, NI KITU KIMEKUWA KIKINISUMBUA KWA MUDA MREFU SANA. WATANZANIA HASA WAAFRIKA TUNA MAJINA YETU MAZURI AMBAYO PIA YANAWEZA KUTUMIKA KAMA UTAMBULISHO WA MAHALI TUNATOKEA. TATIZO NI KWAMBA UKIANGALIA HICHI KIZAZI CHETU CHA SASA, NI VIJANA WACHACHE SANA WANAWAPA WATOTO WAO MAJINA HAYA. MAJINA YA WATOTO SIKU HIZI NI JAMES, JOHN, FRED, JACKSON, JOHNSON, ANNA, FLORA,MARIAM, VIVIAN, SMITH, BAKER, CHRISTOPHER YAANI LIST NDIO YA STYLE HIYO, JARIBU KUANGALIA TU MAJINA YA WATOTO WAKO AMA WA JIRANI YAKO UTAONA WALE WOTE WALIO CHINI YA MIAKA 20 ASILIMIA KUBWA MAJINA HAYA YETU YA ASILI HAWATUMII MKUBWA. HII NI HATARI SANA KWA KIZAZI KIJACHO HASA MIAKA MINGI HUKO MBELENI
ReplyDeleteJina la ukoo halibadiliki.Mfano uchagani mtoto aweza kuitwa "King Wilson Malisa". Hiyo malisa haifutiki mzee.
ReplyDeleteNinaongezea kwa wangoni
ReplyDelete.mbawala
.mapunda
.mende
.sokwe
.ngonyani
.sungura
.digidigi
.kangongo...nk
SASAHIVI TUWEKEE TUTAJE MAJINA YA VIONGOZI WOTE TUNAOWAJUWA WA SERIKALI YETU KUANZIA MJUMBE WA NYUMBA KUMI MPAKA RAIS
ReplyDeleteWAHAYA:
ReplyDeleteMurashani
Byarucellphone
Rweyovodacom
Kukunot-richabo
KairukInternent
ByarushengoWebusaiti
KyantoromERangerover
KatunziLandicruiser
Wachagga,
ReplyDeleteLyimo
Male
Macha
Kinabo
Ngowi
Nguma
Kisamo
Maro
Mosi
Mremi
Ndesokia
Kisoka
Temu
Mawalla
Matemu
Chonjo
Mshiu
naongeza kwa michuzi misupu mtori uji kisusio
ReplyDeletenawakilisha wajaluo sisi tuko kama wamasai yaani KENYA TUPO, UGANDA UTATUKUTA NA TANZANIA NDO TUMECHIMBUKA!!
ReplyDeleteMajina yetu mengine ni
okelo
okech
obama
okethi
ouma
omolo
owino
oyuga
olando
yaani list inaendelea kama kawa yaani msishangae OBAMA ni MJALUO kwao ni kenya kule ujaluoni!!
wandengereko....
ReplyDeleteMITURO
MKUMBWA
POPOTE
Michuzi kuna sisi wakwaya usitusahau.
ReplyDelete1. Maregesi
2. mafuru,
3. Manyama,
4. Masatu
5. Kiunguro
6. Magesa,
7. Chagunya
8. Mwariki
9. Kirati
10.Kibhanda
11.Kitambara
12.Manyonyi
13.Mafwili
14.Mashabhala
15. Kaondelo
16. Mabhau
17. Malegeli
18. Mnene
mdau wa 1:50AM nimecheka hadi nalia hivi ulifikiria nini jamani yani naumwa mbavu lol humu ndani kuna ze komedi ni kucheka tuuu. blogu ya jamii idumu
ReplyDeleteMende sio jina la kingoni. Sisi kwetu ni majina ya manyama tu, tena waporini wala sio wafugwao. Taja yooote ila usisahau "KOMBA"
ReplyDeleteMBONA SIJAONA MAKABILA YA KIHINDI NA KIARABU AU HAO SIO WANANCHI WA BONGO ?????
ReplyDeleteHAYA WAOSHA VINYWA ANZENI UKABILA WENU WA KUSEMA HAO SIO WATANZANIA MAANA TUPO HUKU UGHAIBUNI TUNAWASEMA HAWA WAZUNGU KWA UBAAGUZI HALI YAA KUWA HUKO NYUMBANI NDIO TUNAONGOZA
HUKO UBAGUZI UMPINDUKIA MISS AKIWA NA ASILI YA KIHINDI NOMA
HUKU MTU UKISHAKUWA RAIA HAWAKUANGALII RANGI GANI WALA DINI GANI SIO HUKO KWETU
NAANZA NA WAHINDI
dewji
somji
pateri
gulamali
nk
Wajita
ReplyDeleteMajita
Bwasi
Mwibagi
Murangi
Mugango
mabui
Bugoji
Kusaga
Masika
Mwamba
Wasu
Msubati
Mkwerima
Yego
Masika
Kuweni kama wabena tuna ubini mmoja tu kabila zima: MWANYIKA
ReplyDeleteMmewaacha wadigo na waduruma wa huko mkoani Tanga. Naanza na wadigo.
ReplyDeleteKoja
Majani
Machaka
Zingizi
Jabe
Endeleaaaaaaaaaa
WADURUMA NAO
Dudu
Dude
Jerumani
Taliano
Mwafrika
Mluzi
Sengeza
Rai
endeleaaaaaaaa
Mhh sasa naona jinsi gani watu wasivyokuwa na uelewa wa kutosha hapa.Sasa tumeshaanza kusahau maneno ya baba wa Taifa Mwl.J.K.Nyerere kwamba ukabila ni sumu ya maendeleo ndio ivyo kidogo dogo tunaanza kujibagu kwa majina na makabila.Sawa waliochangia wameandika majina yao hata bila kufikiria nini ilikuwa intension ya blogger mimi sijui lakini ni hatari kubwa sana kwa AMANI ya nchi yetu.Jamani watanzania tuwe makini sana hapa uchaguzi unakaribia kuna watu wanajaribu kuangalia ni watu wakabila lipi wako wengi sana serikalini hii najua itakuja kutikisa amani yetu wakija kusema kuna wamakonde wawili serikalini na wachanga au wahaya tisini na nane,tutabishi?au wanopata mkopo wa elimu sana ni watu wamakabila fulani fulani mwisho taifa linaingia kwenye vita vya makabila.Kaka Michuzi,naomba uitoe hiyo post acha tuishi kwa pamoja na tuwe kabila moja tu la watanzania kama inchi nyingi zilizoendelea.Nyerere hakua mjinga aliposema watanzania wote tuongee kwa lugha moja ndio maana sasa huoni redio zinatangaza kisukuma,au kichaga hii yote ni kwajili ya amani yetu
ReplyDeleteMAKABILA YA TANZANIA
ReplyDelete1.kisamvu
2.bamia
3.matembele
4.mchicha
5.nk
WAZARAMO:
ReplyDelete1. MKEJINA
2. MKENANI
3. SIJAWA
4. SIJAPENDA
5. SIJAONA
6. SIKUJUA
7. NANIMIE
8. NIMNUNIE
9. MKEMWEMA
10. APENDEKI
WAPARE
KAGONJI-anayependa vikondoo
KINANJA- ALIYEZALIWA MSIMU WA NJAA
NAKIO-ALOZALIWA MCHANA
NAMDORI- KADOGO
NAMTHI-KAZALIWA MCHANA
KINAMBORA-ALOALIWA WAKATI WA NEEMA
NAMLENDHA- MCHESHI, MUONGEAJI
KADEKA- WAKUDEKA
NAMBOJO-ALOZALIWA WAKATI WA KUVUNA KUNDE
MKUNDE- MWENYE HAIBA
NAMVUA- ALOZALIWA MSIMU WA MVUA
NZOTA- " WAKATI WA NJAA
MSHIGHE- MWACHENI
KICHILIGHWA-KINACHOLIWA
NAROKA- WA ALFAJIRI
N.K
WAHAYA
RWAMNANA
RWAKATONGO
RWEZAURA
KAMUZOLA
KOKULETAGE
KOKUBANZA
KOKWENDA
KOKUSHAIJA
KOKUYUKA
KUSHABAGANZI
N.K
WASAMBAA
SHEKALAGHE
SHEKIMWEI
SHEMTONGO
SHEMWETA
SHEMKAI
SHEMDOE
SHELUKINDO
SHEKIFUSHO
SHE..........utajaza.
Tribe:WARURI
ReplyDeleteArea: MUGANGO- MUSOMA RURAL
Orientation: PATRIARCHY
Alias: ABHANA BHA KOSITI (WATOTO WA COAST)
Close related to: WAJITA & WAKWAYA
Some common (male) names:
1. wa- Mutwenge (Omukama)
2. wa- Sarya
3. wa- Saire
4. wa- Nyawayega
5. wa- Chibhule
6. wa- Totera
7. wa- Karamba
8. wa- Makanja
9. wa- Masige
10. wa- Mukakaro
11. wa- Kitundu
12. wa- Magunguma
13. wa- Mabeba
14. wa- Marero
15. wa- Wandwi
16. wa- Maira
17. wa- Chogero
18. wa- Chitundu / Kitundu
19. wa- Muhongo
20. wa- Rubhaka
21. wa- Chibhali / Kibali
22. wa- Nyachiya
23. wa- Komanga
24. wa- Songa
25. wa- Bhilagi
26. wa- Magoti
27. wa- Magesa
28. wa- Kasalila
29. wa- Kauru
30. wa- Masegenya
Kuna mdau amesema wajaluo ni wakenya lakini hawa watani wetu wa jadi tuna share hadi makabila kwa mfano wamasai wapo Kenya pia, Wajaluo wapo Mkoa wa Mara. Nadhani hata Mlima Kilimanjaro uko Kenya....au?
ReplyDeleteWoote mmesema lakini MICHUZI ni la wapi?
ReplyDeleteMichizi hii safi sana, Mdau aliyeleta nampa mkono. Comments tu zinaonyesha ilivyofurahiwa na watu. Sio habari za BIRTHDAY ZA WATU WAZIMA.
ReplyDeleteMajina ya wasukuma,
Makoye-shida,
Madoshi
Goyayi
Chenge
Magonya.
WAPOGORO
Mchele
Pepeta
Mpunga.
WAJITA
Manyama,
Suke
Bulemo
Busigara
Masumbuko
Mukabaponye aba...(pelekeni salamu kwa)
ReplyDeleteMwasakafyka
Mwambulukutu
Lusekelo (Furaha)
Mwakafwila
Mwakigonja
Mwasambapa
Mwakalitolo
Mwakalinga
Koroso
Mwakyambiki
Mwandumbya
Juguja (Sukutua)
Mungalwaga (Msigombane)
Mwakalindile
Mpoki (Mwokozi)
Bukuku
Mwakatumbula
Mwasandube
Ntuli (Msaidizi)
Gwamaka (mwenye bguvu)
Ipyana/Mwaipyana
Mpale (msifu)
pafwene mwee (inatosha kwa leo)
wee mchaga maana umejaza majina apa,kwenda zako na ukabila-kabila wako,,,kenge weee
ReplyDeletemimi naitwa britney macjohnson!ni mtanzania halisi
ila nimecheka majina ya uzaramuni?
hahahhaaaaaa uwiiiiii mbavuuuu,,,,waruri,waduruma ndo nini jamani?
ReplyDeletekuna kabila linaitwa WASENGEJU wako tanga sikuamini kabisa!!
annon 01:50am,nina j3 zuri sana leo
ReplyDeleteunamumwa akili hahahahaaaaaaaaa
mmekosa kazi ya kufanya
ReplyDeletejamani mbona kabila la wamanyema sijaliona hapo?na kila nikizunguka mikoani mpaka dar naona misikiti mikubwa na majumba mengi manyema. ningependa kuuliza mji gani wako wamanyema wengi ?
ReplyDeleteHakuna kabila la wamanyema ila kuna wahamiaji wanatoka congo sehemu inaitwa manyema. Hivyo hakuna hata lugha ya kimanyema, makabila ya huko ni waha, wajiji na wahamiaji wengine ni wagoma,wabwari na wabembe toka congo.
ReplyDeleteWanyiramba mmesahau. Makyau,masunga,kingu
ReplyDeletebila kusahau majina ya kibondei kama kichenje, nemganga,kidago, kivugo,nyange, senyange, semtego, kifua, semhando, etc. wabondei mpo Tanga moja
ReplyDelete