Yajue Majina Ya Ukoo Katika
Makabila Mbalimbali Tanzania

Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo yaliyo Common?

Ngoja nijaribu kufungua Dimba:
1. Wachagga
Massawe
Mushi
Mosha
Temu
Mtei
Kimaro
Kimario
Mosha
Marealle wachagga.
Tairo
Mremi
Moshiro
Mlingi
Masashua
Kinabo
Laswai
Swai
Lamtana
Bongole
Mrema
Mrina
Ndesamruro
Ndekise
Chuwa
Minde
Kinyaiya
Njau
Shoo
Nkya
Mtei
Sawaya
Minja
Mengi
Mbatia
Kimambo
Msami
Ndakidemi
Ndemasi
Ndeshillo
Urio
Mrosso
Uria
Urassa
Shio
Silayo
Temba
Lyamuya
Makundi
uisso

Wapare
Maghembe
Mshana
Mgonja
Mchome
Ndanshau
Ainde
Tafadhali endeleza . . .
2. Wahaya:
Rugaimukamu
Rutakyamirwa
Rutabanzibwa
Rweikiza
Rugarabamu
Tafadhali Endeleza
3. Wanyakyusa
Tuntufye
Mwakyusa
Mwakalebela
Ntitu
Mwakosya
Anyosisye
Mwakatwila
Tafadhali endeleza
4. Wangoni (Mdau kawakilisha)
soko
moyo
nguruwe
mbuzi
fusi
nyoni
tembo
njovu
Endeleza tafadhali . . .
5. Wajaluo
Otieno
Onditi
Ojuang
6. Wakurya
Chacha
Mwita
Marwa
Matiku

7. Wasambaa
Semhando
Shelukindo
Kihiyo
Update 1:

8. Wasukuma...
Mabula
Masanja
Magembe
Masunga
8. Wafipa
nkoswe
mpambwe
khamsini
mwanakatwe
nswima
mzindakaya
simbakavu
Endeleza tafadhali...
9. Wanyasa
komba
ndomba
nchimbi
ndunguru
kumburu
nkondola
kanjolonga
Komba
Endeleza...
10: Wazaramo
Havijawa
Ukiwaona
Mwadawa
Mwandani
Hapendeki
Mkegani
Mtukwao
Mlaleo
Shida
Taabu
Dhiki
Endeleza tafadhali....
Tafadhali naomba tusaidiane kutaja majina mbalimbali ya Ukoo kwa kila Kabila na vile vile tuendeleze listi hii hadi yafike makabila 126

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 65 mpaka sasa

  1. Kwanza Wajaluo si kabila la TAnzania ni Kenya inaonesha hujui kitu. Wazaramo mengine ni MWanaada,Ahmada,mwanahamisi,kidawa,Kipanya,Chausiku,Mangara,Maisha, ila SHIDA na TAABU si majina ya kizaramo mie Mzaramo najuwa hilo Ni majina ya Lindi.

    KIKWETE PIA NI JINA LA KIZARAMO BABA YAKE ALITOKEA SEHEMU ZINAITWA KIKWETE.


    yaliobaki umepatia na Majina ya mapacha ya KULWA NA DOTTO YAMETOKA UZARAMUNI NA MAJINA YA MWALIMU. Ukiona Neno MWANA maanayake mtoto ni majina ya KIzaramo MWananyamala maana yake Nyamaza Mtoto. Pazi.

    ReplyDelete
  2. hapo wasukuma kuna Dotto.
    na kabila la Waluguru kuna:
    Mkude
    Mkoba

    ReplyDelete
  3. HAHAHA WAZARAMO SIZANI KAMA KUNA SHIDA NA TABU AU HAPENDEKI KIDOGO SABABU NAWAJUWA ILA KUNA AMBAYO KIPANYA NA MASHAVU MWANAHAMISI. MRISHO. WACHAGA SIJAONA NDOSI NA MAMA PRISCA LOL!.

    WAMAKONDE KUNA NJOMBA KUNA KAKALAO.

    ReplyDelete
  4. inaleta furaha gani kumtambua mtu kwa kabila? mi naona ingekuwa vyema kupromoti kusahau uasili na ukabila katika majina badala ya kufundisha watu kama ivo, eti ukiona ni mawesa basi uyu ni wa kuree kwa mzee wa inji hii, au ukisikia tumbili basi ni wa kule kwa nkosi. ni ayo tu.

    Mdau, ALGERIE

    ReplyDelete
  5. WAZIGUA MMEWASAHAU KUNA;
    MHANDO
    MHINA
    GUMBO
    CHABAI
    NKONDOKAYA
    LUGENDO
    MKOMBOZIMBULINYIGI
    KIHULA
    NKANYEMKA
    MAHIZA NK

    ReplyDelete
  6. Hizi ni zama za teknohama na siyo zama za ujima;acha tujaribu kutumia wakati wetu ifaavyo.
    Je wajua kuwa wajapani wamegundua jozi ya miwani yenye mitambo ya kufanya tafsiri za lugha bila kutegemea msaada wa wakalimani?Je wajua kuwa wajapani wanakamilisha utengenezaji wa kambarau yenye kasi ya kilomita 64 kwa saa kutokana na majengo yanayojengwa sasa duniani kuwa na urefu wa zaidi ya mita 500 kwenda juu?

    ReplyDelete
  7. WAZIGUA NAO:
    MHANDO
    MHINA
    GUMBO
    MAHIZA
    KIHULA
    MBULINYINGI
    MBELWA
    MBEZI
    NKANYEMKA
    MOKIWA

    ReplyDelete
  8. wazaramo kuna ndala ndefu, c**pi mkononi , chipsi yai , asha ngedere etc

    ReplyDelete
  9. aisee we mzaramo hapo juu alikwambia majina ya lindi ni tabu ba shida nani? We acha hizo ndugu,List ni hii Makota,
    chikawe,Lilungulu,Majogo,Nnunduma,Membe,Ng'itu,Chialo,Hokororo,Mwambe,Chinguwile,Magani.And so on.

    ReplyDelete
  10. wachaga kuna Mrema

    ReplyDelete
  11. Muzee inabidi uende makumbosho pale utapata mengi sana hasa ya Wazaramo manake umechemsha hata moja hujapatia. Hayo ni Majina ya Watoto wa kike na sio majina ya Ukoo.

    ReplyDelete
  12. 1. Kwa wachaga ongeza Mmasi, Lyimo, Asenga, Assey, Munuo,Mboro, Nkya, Uiso, Wiso, Kawiche, Kawishe, Shio,Shayo, Shao,Mmbando,Malisa, Kisanga, Mafue,Shoo,Mmari,Macha,Chuwa, Ngowi,Ritte,Kimati,Mboya,Nguma,
    Tairo,Mamiro,Lyaruu,Kessy,Mrema, Urasa,Msoka,Nyange Chani n.k.

    2. Wahaya ongeza Rugambwa, Mushumbusi,Kakwezi,Mutakamulenga,Mutawabwa,Mutaboyerwa,Rugaiganisa,Tibaigana,Tibasana,Kaishozi,Mgengelezi,Mganyizi,Mwombeki,Mulokozi,Ruchaki,Kamala,Kagasheki,Mutabwabwa,Bishanga,Rwenza,Muchunguzi,Lwamayanga,Mganyizi,Rwechungura,Rwehangira,Rwegasira n.k.

    3. Kwa wanyakyusa ongeza Mwakatundu,Mwakareli, mwakatobe, Mwakalobo,Mwasalimba,Mwaiselage,Mwabulambo,Mwandosya,Mwakiteleko,Mwasambiga,Mwaipaja,Anyangisye,Mtafya,Mwaijage,Mwapilinda,Mwangomango,Mwaikenda endeleeni kwingine naishia hapa kwa kuwa wajukuu zangu wapare hawapo kwenye mchakato huu ADIOS.

    ReplyDelete
  13. WASUKUMA:
    Masunga, Masuke, Maduhu, Mabula, Sayi, Nhandi, Mitanda, Kubagwa, Kulwa, Doto, Kija, Mhoja, Makigo, Mabele, Mahangija, Matondo: Endelea

    ReplyDelete
  14. hayo ya wazaramo mengi si majina ya koo za kizaramo.koo kiufupi ni kama chambuso,kisengeni,ng'onde,pazi,mnyamani,bane,muhanga,ukiwaona,yaga, n.k

    ReplyDelete
  15. WADAU MMESAHAU WABONDEI KUNA
    NGODA
    MDACHI
    SEKIBAJA
    MWAIMU
    MAKAME
    SEVUA
    MGAYA
    ENZI
    ADADI

    ReplyDelete
  16. Kwa kusaidia uelewa hakuna kabila la kichagga duniani ila kuna wakibosho,wamachame,wamarangu,n.k.kwakati ujao jaribu kuuliza swali sahihi,ili upate majibu sahihi,swali lako lina utata,usitegemee kupata majibu sahihi.nawasilisha hoja

    ReplyDelete
  17. Wairaqw:- MANDA,SULE,ILAKWAKHI,BALOHHO,TSKHARA,HAYQYMO,HAYSUKUMS,HAY-ETHLAWI,HAYBAGHARI.

    KWA NYONGEZA MAJINA YA KAWAIDA
    WANAUME:- SLAA,QORRO,AKONAAY,HILONGA,BANGA,AKO,SURUMBU,

    MADEMU WA KIKE:_NIIMA,AWAKI,DAATI,NADA,LANTA

    ReplyDelete
  18. Whats the point, what are u trying to archive.

    ReplyDelete
  19. chagga ongeaza MANDARI, TEMU, MROSO,KILEO,MLAY,MOSHI,MOSHA,MUSHI,MANDARA,MAWALLA,MAKUPA,ORAUYA,URIO,ORIYO,LEMA,SAMBEKE,KEENJA,KAAYA,SARUMA,MMBANDO,TARIMO,SELENGIA,MREMA,KIMARO,KIMARIO,KAWA,

    ReplyDelete
  20. WANYAMWEZI.
    Mirambo, Fundikira, Mwinamila, Kahumbi, Seleli, Kalonga, Waluya, Katalambula, Maganga, Ntenya, Masala, Kulangwa, Kasela, Kapalata, Ntimizi, Ngeleza, Nkolokosha, Nshimba, Makono, Mapalala, Malugu, Mayala, Nzuki, Ndegeulaya, Kambaulaya, Simbakalia, Lupeja, Masanilo,

    ReplyDelete
  21. kwa upande wa wazaramo nakuomba ufute yote maana hakuna hata moja ni jina la ukoo bali ni majina ya kawaida ya kizaramo. yafuatayo ni majina ya kizaramo ya ukoo: Pazi, mkaramo,mwinyimbegu,mwinyigumba,mwinyi,wakuti,digalu,mshindo,kibasila,dilunga,zoro,mazongela,mwaruka,mlawa

    ReplyDelete
  22. Naendeleza na kabila la WAHA
    KALIMANZILA
    NTABHARIBA
    MUZIGAMA
    BHUHURURA
    MAGURU_GU_TIMBA
    MUSIBWA
    NSANZUGWANKO
    NZIGIRO
    KALIKUMUTIMA
    NSENGIYUMVA
    KAYANDABHILA
    GASOGOTA
    NDAYANSE
    NDIZEYE
    MBWILIZA
    NZEYIMANA
    NIYIIBHONA
    MBONIMPA n.k, n.k

    Majina ya WAMANYEMA
    KABWARI
    FERUZI
    KASONGO
    HANZURUNI
    KABWE
    KASABA
    MSABAHA n.k, n.k

    ReplyDelete
  23. mimi naongeza wabondei,
    semtawa, semagogwe, semainda, sempindu, kihampa, sembwebwezo, sekashiha, makipengo,mkomeni, nkahi, mainda, semtumbi, hangi. n.k

    wasambaa kidogo,
    sekuba, shakashiha,shehoza, shelukindo.

    mbondei halisi

    ReplyDelete
  24. Mi niwataje baadhi ya WAHEHE halafu haya majina kwa wanawake unatanguliza SE na kwa wanaume unaaza na MWA mfano MWAMUYINGA na SEMUYINGA
    1.MUYINGA
    2.MKWAWINYIKA
    3.MUYEZI
    4.MLAWA
    5.MKWAWA
    6.MVEYANGE
    7.MHANGA
    8.MWILAFWA
    9.MYOVELA
    10.MPOGOLE
    11.MGONAZI
    12.MTAGE
    13.MSIGULA
    14.MTONO
    15.MWANUKE
    16.KIWONE
    17.MPALANZI
    18.MBWELWA
    19.FIYOVELE
    20.KIWONDE
    21.MATATALA
    22.KISOMA
    23.KITOSI
    24.KIHAGA
    25.KILOVELE
    26.KILOWOKO
    27.KILIMWIKO
    28.KIBUGA
    29.MWIHAVA
    30.NGARALEKUMTWA
    31.NGAGA
    32.NDENGA
    32.LUKOSI
    33.KALOLO
    34.MWAZALILA
    35.MSUMANGE
    36.MFILINGE
    37.NGATA
    38.MBOSA
    39.FIYOVELE
    40.NYINGE
    41.KIWELE
    42.KIWELO
    43.MNYAWAMI
    44.MSILU
    45.CHOTA
    46.CHALAMILA
    47.MAKONGWA
    48.MDUGALA
    49.CHANG'A
    50.KUZUGALA
    51.KIHAVA
    52.ULIMWA
    53.MAHADISA
    54.MWILONGO
    55.MAHALI
    Nimechoka baadaye ni mengi sana tuendelee kuchangia

    ReplyDelete
  25. nadhani una utani na wangoni,katika majina yote sijawahi sikia nguruwe

    ReplyDelete
  26. WAGOGO;

    NDAIGA
    MATONYA
    MAZENGO
    NDAHANI
    CHING'OLE
    MWALUKO

    ReplyDelete
  27. KWA WAZARAMO USISAHAU KUONGEZA KATUNDU

    ReplyDelete
  28. Watu mbona mnatekwa tekwa kirahisi what's the logic of all this shit!?

    Ningemuona wa maana sana kama angetuomba tutaje majina ya watu kutoka wilaya mbali mbali za Tanzania.

    Majina ya makabila?? where are you taking us??

    You seem to be winning anyway, so what's the next move.

    ReplyDelete
  29. Majina ya Warangi.
    1. Lubuva
    2. Lukuvi
    3. Ngulo
    4. Sariko
    5. Kidindi
    6. Nyundo
    7. Katanga
    8. Muhita
    9. Muhaji
    10. Ninga

    ReplyDelete
  30. inaelekea kwanza hujui unachokifanya umechangany maina na makabil tofauti kama ndanshau si wapare ni wachaga wa machame, kama huna uhakika tadhali usiharibu moody za watu

    ReplyDelete
  31. Anony Tarehe Sat Mar 20, 05:37:00 PM, umeua kwa waluguru.

    Unawajua akina Ng'ole nk ila umechanganya na wengine wazungu nk

    Safi sana home boy

    ReplyDelete
  32. WAZARAMU
    1.HAVINTISHI
    2.SIKUJUA
    3.SIJAONA
    4.SIWAZIRI
    5.SIJALI
    6.MTUGANI
    7.MWANSHAMBA

    ReplyDelete
  33. wakinga wa makete wao kabila zima kuna majina manne tu wakiongozwa na moja ambalo ni nusu ya wote
    1.SANGA
    2.MBWILO
    3.MAHENGE
    4.KYANDO

    ReplyDelete
  34. BROTHER MICHUZI HII NI MAADA NZURI SANA, NI KITU KIMEKUWA KIKINISUMBUA KWA MUDA MREFU SANA. WATANZANIA HASA WAAFRIKA TUNA MAJINA YETU MAZURI AMBAYO PIA YANAWEZA KUTUMIKA KAMA UTAMBULISHO WA MAHALI TUNATOKEA. TATIZO NI KWAMBA UKIANGALIA HICHI KIZAZI CHETU CHA SASA, NI VIJANA WACHACHE SANA WANAWAPA WATOTO WAO MAJINA HAYA. MAJINA YA WATOTO SIKU HIZI NI JAMES, JOHN, FRED, JACKSON, JOHNSON, ANNA, FLORA,MARIAM, VIVIAN, SMITH, BAKER, CHRISTOPHER YAANI LIST NDIO YA STYLE HIYO, JARIBU KUANGALIA TU MAJINA YA WATOTO WAKO AMA WA JIRANI YAKO UTAONA WALE WOTE WALIO CHINI YA MIAKA 20 ASILIMIA KUBWA MAJINA HAYA YETU YA ASILI HAWATUMII MKUBWA. HII NI HATARI SANA KWA KIZAZI KIJACHO HASA MIAKA MINGI HUKO MBELENI

    ReplyDelete
  35. Jina la ukoo halibadiliki.Mfano uchagani mtoto aweza kuitwa "King Wilson Malisa". Hiyo malisa haifutiki mzee.

    ReplyDelete
  36. Ninaongezea kwa wangoni
    .mbawala
    .mapunda
    .mende
    .sokwe
    .ngonyani
    .sungura
    .digidigi
    .kangongo...nk

    ReplyDelete
  37. SASAHIVI TUWEKEE TUTAJE MAJINA YA VIONGOZI WOTE TUNAOWAJUWA WA SERIKALI YETU KUANZIA MJUMBE WA NYUMBA KUMI MPAKA RAIS

    ReplyDelete
  38. WAHAYA:

    Murashani

    Byarucellphone

    Rweyovodacom

    Kukunot-richabo

    KairukInternent

    ByarushengoWebusaiti

    KyantoromERangerover

    KatunziLandicruiser

    ReplyDelete
  39. Wachagga,

    Lyimo
    Male
    Macha
    Kinabo
    Ngowi
    Nguma
    Kisamo
    Maro
    Mosi
    Mremi
    Ndesokia
    Kisoka
    Temu
    Mawalla
    Matemu
    Chonjo
    Mshiu

    ReplyDelete
  40. naongeza kwa michuzi misupu mtori uji kisusio

    ReplyDelete
  41. nawakilisha wajaluo sisi tuko kama wamasai yaani KENYA TUPO, UGANDA UTATUKUTA NA TANZANIA NDO TUMECHIMBUKA!!
    Majina yetu mengine ni
    okelo
    okech
    obama
    okethi
    ouma
    omolo
    owino
    oyuga
    olando
    yaani list inaendelea kama kawa yaani msishangae OBAMA ni MJALUO kwao ni kenya kule ujaluoni!!

    ReplyDelete
  42. wandengereko....
    MITURO
    MKUMBWA
    POPOTE

    ReplyDelete
  43. Michuzi kuna sisi wakwaya usitusahau.
    1. Maregesi
    2. mafuru,
    3. Manyama,
    4. Masatu
    5. Kiunguro
    6. Magesa,
    7. Chagunya
    8. Mwariki
    9. Kirati
    10.Kibhanda
    11.Kitambara
    12.Manyonyi
    13.Mafwili
    14.Mashabhala
    15. Kaondelo
    16. Mabhau
    17. Malegeli
    18. Mnene

    ReplyDelete
  44. mdau wa 1:50AM nimecheka hadi nalia hivi ulifikiria nini jamani yani naumwa mbavu lol humu ndani kuna ze komedi ni kucheka tuuu. blogu ya jamii idumu

    ReplyDelete
  45. Mende sio jina la kingoni. Sisi kwetu ni majina ya manyama tu, tena waporini wala sio wafugwao. Taja yooote ila usisahau "KOMBA"

    ReplyDelete
  46. MBONA SIJAONA MAKABILA YA KIHINDI NA KIARABU AU HAO SIO WANANCHI WA BONGO ?????

    HAYA WAOSHA VINYWA ANZENI UKABILA WENU WA KUSEMA HAO SIO WATANZANIA MAANA TUPO HUKU UGHAIBUNI TUNAWASEMA HAWA WAZUNGU KWA UBAAGUZI HALI YAA KUWA HUKO NYUMBANI NDIO TUNAONGOZA

    HUKO UBAGUZI UMPINDUKIA MISS AKIWA NA ASILI YA KIHINDI NOMA

    HUKU MTU UKISHAKUWA RAIA HAWAKUANGALII RANGI GANI WALA DINI GANI SIO HUKO KWETU

    NAANZA NA WAHINDI
    dewji
    somji
    pateri
    gulamali
    nk

    ReplyDelete
  47. Wajita
    Majita
    Bwasi
    Mwibagi
    Murangi
    Mugango
    mabui
    Bugoji
    Kusaga
    Masika
    Mwamba
    Wasu
    Msubati
    Mkwerima
    Yego
    Masika

    ReplyDelete
  48. Kuweni kama wabena tuna ubini mmoja tu kabila zima: MWANYIKA

    ReplyDelete
  49. Mmewaacha wadigo na waduruma wa huko mkoani Tanga. Naanza na wadigo.

    Koja
    Majani
    Machaka
    Zingizi
    Jabe
    Endeleaaaaaaaaaa

    WADURUMA NAO
    Dudu
    Dude
    Jerumani
    Taliano
    Mwafrika
    Mluzi
    Sengeza
    Rai
    endeleaaaaaaaa

    ReplyDelete
  50. Mhh sasa naona jinsi gani watu wasivyokuwa na uelewa wa kutosha hapa.Sasa tumeshaanza kusahau maneno ya baba wa Taifa Mwl.J.K.Nyerere kwamba ukabila ni sumu ya maendeleo ndio ivyo kidogo dogo tunaanza kujibagu kwa majina na makabila.Sawa waliochangia wameandika majina yao hata bila kufikiria nini ilikuwa intension ya blogger mimi sijui lakini ni hatari kubwa sana kwa AMANI ya nchi yetu.Jamani watanzania tuwe makini sana hapa uchaguzi unakaribia kuna watu wanajaribu kuangalia ni watu wakabila lipi wako wengi sana serikalini hii najua itakuja kutikisa amani yetu wakija kusema kuna wamakonde wawili serikalini na wachanga au wahaya tisini na nane,tutabishi?au wanopata mkopo wa elimu sana ni watu wamakabila fulani fulani mwisho taifa linaingia kwenye vita vya makabila.Kaka Michuzi,naomba uitoe hiyo post acha tuishi kwa pamoja na tuwe kabila moja tu la watanzania kama inchi nyingi zilizoendelea.Nyerere hakua mjinga aliposema watanzania wote tuongee kwa lugha moja ndio maana sasa huoni redio zinatangaza kisukuma,au kichaga hii yote ni kwajili ya amani yetu

    ReplyDelete
  51. MAKABILA YA TANZANIA
    1.kisamvu
    2.bamia
    3.matembele
    4.mchicha
    5.nk

    ReplyDelete
  52. WAZARAMO:
    1. MKEJINA
    2. MKENANI
    3. SIJAWA
    4. SIJAPENDA
    5. SIJAONA
    6. SIKUJUA
    7. NANIMIE
    8. NIMNUNIE
    9. MKEMWEMA
    10. APENDEKI

    WAPARE
    KAGONJI-anayependa vikondoo
    KINANJA- ALIYEZALIWA MSIMU WA NJAA
    NAKIO-ALOZALIWA MCHANA
    NAMDORI- KADOGO
    NAMTHI-KAZALIWA MCHANA
    KINAMBORA-ALOALIWA WAKATI WA NEEMA
    NAMLENDHA- MCHESHI, MUONGEAJI
    KADEKA- WAKUDEKA
    NAMBOJO-ALOZALIWA WAKATI WA KUVUNA KUNDE
    MKUNDE- MWENYE HAIBA
    NAMVUA- ALOZALIWA MSIMU WA MVUA
    NZOTA- " WAKATI WA NJAA
    MSHIGHE- MWACHENI
    KICHILIGHWA-KINACHOLIWA
    NAROKA- WA ALFAJIRI
    N.K

    WAHAYA

    RWAMNANA
    RWAKATONGO
    RWEZAURA
    KAMUZOLA
    KOKULETAGE
    KOKUBANZA
    KOKWENDA
    KOKUSHAIJA
    KOKUYUKA
    KUSHABAGANZI
    N.K

    WASAMBAA
    SHEKALAGHE
    SHEKIMWEI
    SHEMTONGO
    SHEMWETA
    SHEMKAI
    SHEMDOE
    SHELUKINDO
    SHEKIFUSHO
    SHE..........utajaza.

    ReplyDelete
  53. Omwana wa KostiMarch 22, 2010

    Tribe:WARURI
    Area: MUGANGO- MUSOMA RURAL
    Orientation: PATRIARCHY
    Alias: ABHANA BHA KOSITI (WATOTO WA COAST)
    Close related to: WAJITA & WAKWAYA


    Some common (male) names:

    1. wa- Mutwenge (Omukama)
    2. wa- Sarya
    3. wa- Saire
    4. wa- Nyawayega
    5. wa- Chibhule
    6. wa- Totera
    7. wa- Karamba
    8. wa- Makanja
    9. wa- Masige
    10. wa- Mukakaro
    11. wa- Kitundu
    12. wa- Magunguma
    13. wa- Mabeba
    14. wa- Marero
    15. wa- Wandwi
    16. wa- Maira
    17. wa- Chogero
    18. wa- Chitundu / Kitundu
    19. wa- Muhongo
    20. wa- Rubhaka
    21. wa- Chibhali / Kibali
    22. wa- Nyachiya
    23. wa- Komanga
    24. wa- Songa
    25. wa- Bhilagi
    26. wa- Magoti
    27. wa- Magesa
    28. wa- Kasalila
    29. wa- Kauru
    30. wa- Masegenya

    ReplyDelete
  54. Kuna mdau amesema wajaluo ni wakenya lakini hawa watani wetu wa jadi tuna share hadi makabila kwa mfano wamasai wapo Kenya pia, Wajaluo wapo Mkoa wa Mara. Nadhani hata Mlima Kilimanjaro uko Kenya....au?

    ReplyDelete
  55. Woote mmesema lakini MICHUZI ni la wapi?

    ReplyDelete
  56. Michizi hii safi sana, Mdau aliyeleta nampa mkono. Comments tu zinaonyesha ilivyofurahiwa na watu. Sio habari za BIRTHDAY ZA WATU WAZIMA.

    Majina ya wasukuma,
    Makoye-shida,
    Madoshi
    Goyayi
    Chenge
    Magonya.

    WAPOGORO
    Mchele
    Pepeta
    Mpunga.

    WAJITA
    Manyama,
    Suke
    Bulemo
    Busigara

    Masumbuko

    ReplyDelete
  57. Mukabaponye aba...(pelekeni salamu kwa)

    Mwasakafyka
    Mwambulukutu
    Lusekelo (Furaha)
    Mwakafwila
    Mwakigonja
    Mwasambapa
    Mwakalitolo
    Mwakalinga
    Koroso
    Mwakyambiki
    Mwandumbya
    Juguja (Sukutua)
    Mungalwaga (Msigombane)
    Mwakalindile
    Mpoki (Mwokozi)
    Bukuku
    Mwakatumbula
    Mwasandube
    Ntuli (Msaidizi)
    Gwamaka (mwenye bguvu)
    Ipyana/Mwaipyana
    Mpale (msifu)

    pafwene mwee (inatosha kwa leo)

    ReplyDelete
  58. wee mchaga maana umejaza majina apa,kwenda zako na ukabila-kabila wako,,,kenge weee

    mimi naitwa britney macjohnson!ni mtanzania halisi

    ila nimecheka majina ya uzaramuni?

    ReplyDelete
  59. hahahhaaaaaa uwiiiiii mbavuuuu,,,,waruri,waduruma ndo nini jamani?

    kuna kabila linaitwa WASENGEJU wako tanga sikuamini kabisa!!

    ReplyDelete
  60. annon 01:50am,nina j3 zuri sana leo

    unamumwa akili hahahahaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  61. mmekosa kazi ya kufanya

    ReplyDelete
  62. jamani mbona kabila la wamanyema sijaliona hapo?na kila nikizunguka mikoani mpaka dar naona misikiti mikubwa na majumba mengi manyema. ningependa kuuliza mji gani wako wamanyema wengi ?

    ReplyDelete
  63. AnonymousMay 10, 2011

    Hakuna kabila la wamanyema ila kuna wahamiaji wanatoka congo sehemu inaitwa manyema. Hivyo hakuna hata lugha ya kimanyema, makabila ya huko ni waha, wajiji na wahamiaji wengine ni wagoma,wabwari na wabembe toka congo.

    ReplyDelete
  64. Wanyiramba mmesahau. Makyau,masunga,kingu

    ReplyDelete
  65. AnonymousMay 28, 2015

    bila kusahau majina ya kibondei kama kichenje, nemganga,kidago, kivugo,nyange, senyange, semtego, kifua, semhando, etc. wabondei mpo Tanga moja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...